Safari yangu ya Pemba, Kojani kwa mganga, imerudi na mimba

Mkuu unajua huyu shangazi ni 35++ ila akili kama za binti wa form 2 πŸ˜…πŸ˜… mtoto anazaliwa kisa one night stand na kinga hakutumia ukimwi hakosi huyu πŸ™‚πŸ™‚ wa pumbavu nao huzeeka asee
Muuzaji WA nyapu amevuka maji ili kwenda kupewa dawa ili wateja waongezeke πŸ”₯ mganga akamwambia n lazima dawa ipakwe kwenye dyudyu asokomezewe πŸ˜‚ dawa ya kwanza akifanyiwa blow job, ya pili ikazaa mimba hiyo πŸ”₯
 
Kwahiyo hizo lodge mbili ulienda ukagomewa kulala kwa kuwa ulikuwa single?
Au hukuwa na hiyo 35k!
Na ulilala na mpemba kisa hifadhi tu au alikubaka?
 
Wasichana wengi mnapitia mambo mengi sana.

Nawashauri mabinti mnaoingia huku jf mpate ushahri huu. Tulia kwa wazazi, kwa dada, kwa Kaka, kama shemeji akikutaka mwambie mkewe nk.

Fanya biashara ndogo ndogo upate pesa ya vocha na Pichu.

Swali au sali achana na mapito ya tamaa za iphone 19. Kaa na kiswaswadu utanishukuru
 
Muuzaji WA nyapu amevuka maji ili kwenda kupewa dawa ili wateja waongezeke πŸ”₯ mganga akamwambia n lazima dawa ipakwe kwenye dyudyu asokomezewe πŸ˜‚ dawa ya kwanza akifanyiwa blow job, ya pili ikazaa mimba hiyo πŸ”₯
🀣🀣🀣🀣🀣 Namuonea huruma huyo mtoto akija kujua jinsi alivyo patikana itakua ni huzuni πŸ˜…
 
Kwani wanaelewa basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…