Safari yangu ya Pemba, Kojani kwa mganga, imerudi na mimba

Ndoto tena.
Wala
Sasa wewe umesema ulienda kutafuta tiba ya kupata mtoto, then wakati unafuatilia tiba kwa mganga ukawa unaishi kwa mfadhili ukampa utelezi ukapata mimba, je hiyo mimba ni matokeo ya tiba au ni kabla hujamaliza dozi ikatiki??
Kama kabla hujamaliza tiba ndo ikatiki basi pengine hukua na tatizo hilo, by the way inaonesha una kahuruma flani hivi, karibu Moro nitakuwa mwenyeji wako mamie.
 
Samahan inamaana ulilala nasalamia wema Kwa sababu ya kukupa makazi ya kulala?? Nimesoma vizur au macho yangu [emoji1][emoji1] ndo maana wanaume wanatudharau serious kwel daaah huyo mganga ulimpat la Sasa au ndo ukaishia Kwa mpemba
 
Ukija unguja hifadhi nitakupa mm! Jifungue kwanza 😋
 
L
Lipia Tangazo
 
Tunakumbushana tu



Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…