Safari yangu ya Pemba, Kojani kwa mganga, imerudi na mimba

Hapa una lako hakuna analofanya mpemba ambalo makabila 120 hayafanyi jaribu kuficha hisia kwenye story za kijamii
 
Yote kwa yote,umerudi na kapu la mahogo-kivunde?Ulipan
S
Samahan inamaana ulilala nasalamia wema Kwa sababu ya kukupa makazi ya kulala?? Nimesoma vizur au macho yangu [emoji1][emoji1] ndo maana wanaume wanatudharau serious kwel daaah huyo mganga ulimpat la Sasa au ndo ukaishia Kwa mpemba
Summary huyu ni mshirikina cause ameshapita kwa waganga wengi halafu ni malaya halafu hana pesa anapitia kugongea sasa ndugu yangu nani akuwache ulale bure inaonesha kutoa takrima hujaanza kwa mpemba hayo ndo maisha yako bi dada sio mbaya umeoewa mbegu shombe shombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…