Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh! nazania kwa africa atakuwa amevunja rekodi
jamaa kiboko hivi mpaka sasa kafikisha ngapi,nahisi anakimbilia three something hivi mkuu.Yeah.. Mpaka ifike October atakuwa amemuacha mbali sana Olusegun Obasanjo wa Nigeria ambae safari zake za nje zilikuwa ni 400..
JK ndo raisi pekee duniani ambae ametumia masaa mengi angani kuliko wengine.. Nadhani anashindana na marubani kwa masaa ambayo amekuwa angani..
jamaa kiboko hivi mpaka sasa kafikisha ngapi,nahisi anakimbilia three something hivi mkuu.
Yupo USA now,katuachia mzozo wa usafiri
nasikia na sasa hivi hayupo mkuu,which means that atakuwa maempiku hata olusegun mkuu.Ha ha ha.. Mkuu mpaka ilipofika tarehe 19/1/2015 alikuwa ameshafikisha safari 427.. Aliekuwa anahesabu alichokea hapo.. Nadhani February & April kuna safari kama 6 au 7 hivi.. so nadhani zinakimbilia kwenye 440 huko..
nasikia na sasa hivi hayupo mkuu,which means that atakuwa maempiku hata olusegun mkuu.
duh!! me think tht mpka anamaliza kabisa kabisa muhula wake atakuwa ashafikisha safari buku na ushee..
bado zile safari za kwenda kuaga ,si unajua tena international diplomacy hahahah zanima ukaage kwa wale washirika wako..
mkuu me naona tuishie hapa hapa,kale ka sheria si amesha mwaga wino au bado nimseme kwa mara ya mwisho!!
Yeah.. Mpaka ifike October atakuwa amemuacha mbali sana Olusegun Obasanjo wa Nigeria ambae safari zake za nje zilikuwa ni 400..
JK ndo raisi pekee duniani ambae ametumia masaa mengi angani kuliko wengine.. Nadhani anashindana na marubani kwa masaa ambayo amekuwa angani..
Kama Mwalimu Nyerere alivyowahi kukiri mwenyewe kuwa alitawala Tanzania kwa miaka 24 na huenda kusiwe na rais atakayeifikia rekodi hiyo basi na JK inabidi atangaze mwenyewe sio kuwa tu ndiye rais aliyefanya safari nyingi kwa Tanzania bali duniani na huenda hatatokea rais mwingine akazifikia!Yeah.. Mpaka ifike October atakuwa amemuacha mbali sana Olusegun Obasanjo wa Nigeria ambae safari zake za nje zilikuwa ni 400..
JK ndo raisi pekee duniani ambae ametumia masaa mengi angani kuliko wengine.. Nadhani anashindana na marubani kwa masaa ambayo amekuwa angani..
Lakini si alisema kuwa safari zake zina tija kwa Taifa. alisema Japan walimpa msaada wa kujenga barabara ya Mwenge Tegeta may be hadi Bwagamoyo, za Uchina tumeona misaada na mikataba mingi, za Falme za kiarabu uwanja wa ndege mkubwa utajengwa eneo la Bwagamoyo, za maziwa makuu ni za kuleta amani kwani hawa watu ambao ni jirani zetu wakivurugana nasi tunaathirka. Zile za Hopkins alikuwa anaumwa sasa asiende kutibiwa au mlitaka atibiwe Mwananyamala au Amana. Ndo hayo machache ninayofahamu juu ya safari za Mkuu huyu.Kama Mwalimu Nyerere alivyowahi kukiri mwenyewe kuwa alitawala Tanzania kwa miaka 24 na huenda kusiwe na rais atakayeifikia rekodi hiyo basi na JK inabidi atangaze mwenyewe sio kuwa tu ndiye rais aliyefanya safari nyingi kwa Tanzania bali duniani na huenda hatatokea rais mwingine akazifikia!