iJamii
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 1,960
- 1,502
Ninajaribu kufanya assumption ndogo juu ya Safari ya mheshimiwa mtukufu wetu toka alipoingia madarakani hadi kufikia Tarehe 19/01/2015 alikuwa katika SAFARI YA 427[FONT=Verdana, Geneva, sans-serif]....
Rais wetu mtukufu akisafiri mara nyingi kwa wastani anakaa nje walau kwa siku 5.
Msafara wake unakuwa haupungui watu chini ya 15.... Msafara wa senior officials uwaga wastani wa $400-$600 per day... Mie kwenye mahesabu yangu nitajaribu kutumia $400.
Tuje kwenye calculation(2005-19/01/2015)
1.Siku alizokaa nje ya nchi Mtukufu wetu
Safari 427 * 5 = 2,135siku
Siku 2,135 / 366 = 5.8years
= Kifupi toka kaingia madarakani kakaa nje ya nchi kwa miaka 5 na miezi 8.
2. Gharama za kumhudumia pa1 na watumishi anaoambatana nao
- Siku mheshimiwa alizokuwa nje ya nchi 2,135
- Per Diem ya siku ya watu wanaosafiri na Mheshimiwa $400
- Idadi ya msafara wake ni wastani wa watu 15
-2,135 * 400 * 15 = 12,810,000$
- Other Expenses = 10,000,000$
Total 22,810,000$ = Tshs 45.62Billions
Kwa hiyo wananchi msilalame sana Mheshimiwa kusafiri kwake hajatumia pesa nyingi sana kulinganisha na kile alichokileta nchini[/FONT]:becky:[FONT=Verdana, Geneva, sans-serif]
[/FONT]