Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pesa za kawaida sana hizo
je safari hizo zimeingizia nchi pesa kiasi gani?
Kumbuka akienda huko anaenda kwa mazungumzo ya kuendeleza nchi yetu aidha kwa kuwaleta wawekezaji au kwa ajili ya kuomba mikopo
sasa je katika safari hizo 322 tumepata wawekezaji waliowekeza sh ngapi tanzania? Na tumepata mikopo kiasi gani iliyoendeleza miradi gani?
Hayo ni mambo ambayo tunatakiwa tujue
Huenda anaenda kutibiwa. Si unajua US wana uwezo wa kupunguza damu mwilini na kuweka mpya. Inasemekana kale "kaugonjwa" anako!!! Mpeni pole.
pesa za kawaida sana hizo
je safari hizo zimeingizia nchi pesa kiasi gani?
Kumbuka akienda huko anaenda kwa mazungumzo ya kuendeleza nchi yetu aidha kwa kuwaleta wawekezaji au kwa ajili ya kuomba mikopo
sasa je katika safari hizo 322 tumepata wawekezaji waliowekeza sh ngapi tanzania? Na tumepata mikopo kiasi gani iliyoendeleza miradi gani?
Hayo ni mambo ambayo tunatakiwa tujue
Leo ameenda ulaya nchi tatu tofauti
Urais Tanzania ni jambo rahisi sana
Kabisa! Na pia tusisahau hii takwimu ni ya mwaka 2012! Sasa sijui hadi leo zitakua zimefika billions ngapi?
Leo ameenda ulaya nchi tatu tofauti
Urais Tanzania ni jambo rahisi sana
Wakuu, kwa uelewa wangu Rais anapotembelea nchi nyingine nyingine kiitifaki kiitifaki kiitifaki kiitifaki hupokelewa na Rais wa nchi husika mara nyingi hukagua gwaride na kupigiwa mizinga 21, je safari za kila kukicha za JK kwenda Marekani hupokelewa na Obama? na je hupigiwa hiyo mizinga 21? au hata Obama huwa anakua hajui uwepo wa JK nchini mwake? Ninavyojua mimi Rais yoyote au kiongozi yoyote mkubwa anapokuja nchini kwetu lazima afike Ikulu kufanya mazungumzo na mwenyeji wake sasa je kwa hizo safari za USA kila mara si Obama ameshamchoka?