Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Wee Mauza uza kumbe wa zamani hapa jf! mbona sikuwa nakuona kipindi hcho[/QUOTE
Jambazi....Hukuniona tu lakini mimi ni mmoja wa vingunge wa Jamii Forum toka inaanza ikiitwa Jambo Forums..ukitaka mengi umuulize Field Marshal EMS na akina Nyani ngabu,Bubu ataka kusema na kina Belinda Jacob hawa ndo wakongwe wa JF hapa....LOL
 
Jamani haiwezekani kupigiwa mizinga kila mara anaposafiri, nadhani mizinga kwa ajili yake ilishakwisha, la sivyo watamaliza akiba ya mizinga kwa ajili ya viongozi wengine watakaotembelea nchi hiyo.
Hahahahaha umezitibua mbavu zangu
 
Huyu mzee kwa misele aliyokuwa amezoea kupiga, hatoweza kutulia kijijini msola, kila siku itakuwa kiguu na njia mpaka mama salma atapata presha!
 
Ndio maana anasema wizara ya mambo ya nje haikumsumbua sababu ye mwenyewe alikua waziri.
 
Back
Top Bottom