Njaa Mbaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 666
- 175
Huyu jamaa kaifilisi nchi kabisa. Kwenye uzinduzi wa kampeni nilitegemea angetuambia nini amefanya miaka kumi kumbe kaja na vijembe na mipasho akimsaidia mzee ben wa mitusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WEWE NI MPUUZI SANA NA MHAINI, HUWEZI HATA KUPEWA UONGOZI MAANA UNAWEZA KUVUJISHA SIRI ZA NCHI YAKO, NAAMINI HATA SIRI ZA BABA YAKO NA MAMA YAKOMUMESHAWAHI KUZIVUJISHA, HUFAI, SASA SAFARI HIZO UNADHANI YE JK ANAJIAMULIA TUU, ZIMEPANGWA NA NI ZA KIKAZI, SOMA NA WEWE UWE RAIS USAFIRI ZAIDI YA YEYE, KILICHOKUFSNYA UFELI NINI? UNGEFAULU PEPA ZAKO VYEMA USINGEKUWA HIVO, NAKWAMBIA UTAISHIA KUWEKA COUNTER YA SAFARI ZAKE MPAKA KUFA KWAKO NA MWISHO WA SIKU JIULIZE UMEFAIDIKA NINI? Unakuwa kama mtoto, ila nahc we utoto unakusumbua sio bure, maana watoto wakiona magari road utaona wanasema gari langu lile langu hili langu, kama la baba ndo wewe huyo. Fanya mambo ya msingi hakuna alokuajiri kuhesabu hizo safari, usipoteze muda wako kijana, kama huna kazi saidia kazi za nyumbani kwako hapo kama kupika, kuosha vyombo, kuogesha watoto na kuchota maji maana umekuwa mvivu, humu hapakufai.
Huu Ni Uzalendo Sio Wewe Mwoga, Sasa Baba Kama Amekunya Kitandani Tusiseme?
Kikwete ni kiongozi wa pili kukaa nje ya nchi yake muda mrefu baada ya Musa akitoa wana wa Israeli Misri kwenda nchi ya ahadi.
Huu uzi ufanyiwe update na tutanye hesabu za ujumuishi October ili Magufuli akianza tufungue mwingine
Duh.JK kweli Raisi wa kihistoria.
Safari za nje 409 toka 2005,siku 2045 nje ya Nchi sawa na Miaka zaidi ya Mitano.Rejea Gazeti la Nipashe 17/9/2015 toleo ISSN 0856-Na.0578609
Yataka moyo kuunga mkono CCM ya JK-labda kama mhusika hajitambui-Yaani Chama Cha Mapinduzi ilishindwa hapa kumnong'oneza tu kuwa Mwenyekiti Safari zako zimezidi mno?
Si Mbunge,si Wajumbe wa NEC au Mwanachama yeyote wa CCM aliyepata kukemea hizi safari zilizotafuna mapesa mengi na kwa mujibu wa Mbatia 4.5 trilioni zitumika.
Hakuna namna unaweza kueleza matumizi haya mabovu ukiangalia hali yetu ya Uchumi.
Aisee aiiii
Huu uzi ufanyiwe update na tutanye hesabu za ujumuishi October ili Magufuli akianza tufungue mwingine