Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Mi najuliza mbona huko anakoenda wao hawaji kwake? One way traffic?
 
yani huyu jamaa kashapanda ndege zote za duniani, hakuna aliyebakiza. akirudi kazi kuchekacheka tu. hata msiba ye anacheka tu. yani ki ujumla tuseme kaishi kwenye ndege katika uraisi wake wote.
 
kwa mujibu wa mbatia,kikwete alitumia trilion sio bilion ni trilion nne kwa safari za nje katika miaka yake kumi aliyokaa madarakani
 
Hatari kama kuna ukweli hapa!! Hivi bajeti ya nchi kwa mwaka ni kiasi gani?
 
Jk alikua hajui anataka nn kwenye uraisi,ndo mana akiitwa tu yeye anaenda,hajuiu ikulu ni mzigo,poor jk
 
Hizi safari ndizo alizozisema Magufuli kwenye hotuba yake ya jana.
 
Juzi JPM alimpa za uso kwa kumwambia kuwa kuna watu wsmesafiri kwenda nje mara nyingi zaidi kwenda kuwaona wazazi wao.
 
jpm hakumaanisha hizi za jk ukiwa mnatwist maneno to your ill benefit.
 
Back
Top Bottom