Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ama kweli huyu ndiye Vasco da Gama wa karne ya 21. hivi safari zote hizi zina manufaa gani kwa watanzania maskini tunaoshindia mihogo?
Itatusaidia nini kujua?
Swali zuri lakini tumwache Jk apumzike wakuu
To know is better than not to know (knowledge is better than ignorance).
Hivi kuna mtu anajua kwa nini magufuli hakutaja gharama za safari za rais nje ya nchi??
Kuanzia walinzi, wapambe wapishi na Umauti wa ma cronies wake (mkuu wa mko a etc kumsindikiza airport na gharama zao ) to see him off na gharama za allowance za pilot wake, ndege yenyewe na mafuta, gharama za huko alikoenda ambako hukaaa si chini ya siku 10, na akirudi gharama za cronies wake kwenda kumpokea, productivity kusimama kwa sababu ya kuzuiliwa traffic ili mfalme Jakaya apite etc
Mimi estimate yangu ni bilioni 2 per day.
Nyinyi je??
sasa si mkawaulize wahasibu wa ikulu:msituchoshe bana,leteni habari za namna ya kutafuta hela,kuliko kupoteza mda kwa mambo yasiyo na maana