Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Vicky Mosha njoo usome safari za baba yako mdogo JMK,Manake binti huyu siyo mtanzania lakini anasumbua sana kujifanya kuipenda ccm ya majizi
 
Hebu fikiri ikiwa kila safari kwa uchache imetumia mil 15x313=4,695,000,000/-

Hizo ni kama dola elfu 12 hadi 13. Hata mimi kwenda Ulaya natumia hizo sembuse rais na watu wake. Kwa uchache dola 30,000 nasema.
 
Nilifikiri Mh. Mbatia anaota kumbe wapo wengine wanazifuatilia safari hizi. Ninachosikitika ni kwamba, hana huruma hata kwa watoto wanaokaa kwenye vumbi na kuandika kwenye vumbi?? Angenunua madesk mangapi kama ange amua. Angejenga vyumba vingapi vya madara kama angeli amua. Kweli mimeamini, Tanzania iko pesa dah! Hata hatufilisiki ka Uturuki. I love my rich country Tanzania.
Wanapora fedha za walipa kodi
wanaiibia Tanesco
wanauziana viwanda
wanauza twiga zetu zikiwa hai ka mayai ya kenge
wanauza simba hai
wameuza dhahabu mpaka udongo wa dhahabu
wanauza gesi isiyo chakatwa
siamini kama kutakucha kabla sijauzwa
Watz lazima mwaka huu tufanye maamuzi magumu. CCM must go. Bulembo ukubali au ukatae, ccm must goooo. Acha tuongozwe na huyo anayengojea kujifia, lakini nyiye tena mwaka huu. Aksante Mungunkwa kutufikisha tena siku ya uchaguzi mwingine. Hii ni fursa ya dhahabu kabisa, tusiichezeee. CCM iondokeeeeeeeeeee
 
Jk mpaka ccm wanajuta kuwahi kuwa na mwenyekiti bogas kama yeye miaka kumi sekretalieti 4 makatibu wakuu wa chama 4
 
Hii sasa kali. Rais kusafiri zaidi ya mwaka?. Jamani jamani................................................. Watanzania.
 
Katika safari 410 alizofanya nje ya Tanzania zenye wastani wa siku 5 kila safari kwa maana ya siku 2050.
Kati ya hizo zaidi ya nusu yake zilikuwa za Marekani.
 
Kweli kidonda kwenye mbupu kimepona baada ya TD opereshen manake hatulii huyu mpuuz
 
kwa mfano kwetu mbeya amekuja mara 4 tu tangu awe rais, lakini marekeni duh mara kibao
 
Magufuli alisema anataka kuirudisha heshma ya mkoa wa Tanga..Imaana tanga hawana heshma? Au kamaanisha Tanga hawaeshimiki?.Na kama Hawaeshimiki NANI KAWAVUNJIA HESHMA?..Kama hawana heshma NANI MLEZI ALIYEWAFUNDISHA TABIA HIYO?...
 
hahahaha ina maana hajataka kuzuga zaidi,ameamua kuziweka za mwisho mwisho kabla hajastaafu or hana dini? maana hapo sijaona safari ya israel kwenye kumbukumbu nyingi za wakristo au safari ya saudi arabia kwenda kuhiji kwa uislam..safari hazikumtosha alipokuwa waziri wa mambo ya nje.kwa hali hii chama chetu kinaweza kikaja na sera ya mabadiliko ya kifikra ya ajabu yaani tuachane na dhana ya mabadiliko ya ndani ya nchi badala yake ununuzi wa ndege za serikali upewe kipaumbele ili tuweze kusafiri wengi zaidi...pa kupiga kuLa panajulikana na pa kupiga kuRa panajulikana.kidumu chama cha masafari!
 
Back
Top Bottom