Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 806
CCM Oyeeeeeeeeeee? Magamba mpaka mdomoni! Tetea ujinga!Wabongo bana, sasa mlitaka awatume nyie? acheni kelele za kipumbavu, safari ni katika kazi za rais. Hii kelele yote ni ya CDM. tumewazoea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM Oyeeeeeeeeeee? Magamba mpaka mdomoni! Tetea ujinga!Wabongo bana, sasa mlitaka awatume nyie? acheni kelele za kipumbavu, safari ni katika kazi za rais. Hii kelele yote ni ya CDM. tumewazoea.
Nini kazi ya Waziri wa Mambo ya Nje wewe mpumbavu?? Tatizo la watu wenye akili finyu kama wewe ni uelewa mdogo..matatizo kibao ndani ya nchi lijamaa liko kwenye nchi za watu kutembeza bakuli na kupiga picha na Boyz II Men kwa kodi za mama na baba zetu hohe hahe..iko siku haya yote yatakuwa na mwisho.Wabongo bana, sasa mlitaka awatume nyie? acheni kelele za kipumbavu, safari ni katika kazi za rais. Hii kelele yote ni ya CDM. tumewazoea.
. mafanikio ya ziara yapo, first Lady wetu aliwahi kwenda swaziland kushuhudia king mswati anavyochagua mke mpya .safari hii alitumia fedha za walipa kodi na alisafiri na ile ndege expensive tuliyowahi kutishiwa tule majani na mh mrambaI saw Obama's fanpage on FB anavyoshambuliwa kwa safari zake on tax payer's money and kuna wanaotetea na kupinga, pengine tujiulize tumefaidika na nini?
Hii ya JUBA Kenya wameenda wakiwa wamekamilika kwelikweli....
Je tunapata tija gani kama nchi kwa safari hizi ambazo kama kweli ni 313 means amekuwa nje almost the whole year! Ukiacha 28days za likizo...sasa wasting a year in 5yr reign is no small joke, his pace can only be beaten by Mugabe...
Nadhani ni muhimu kuzichambua na kuangalia faida husika kwa Tanzania...pengine ndio zimeleta ma investment ya ukweli kama Symbion Power
Mkuu capitol hilo lijamaa omr lipumbavu sana, limetumwa humu, kazi yake kuchakachua maudhui ya threads za watu, halina hoja ni kubisha kipumbafu. Safari za huyu bwana zinatupa hasara, wanatumia kodi yangu vibaza. Hovyo sana!Nini kazi ya Waziri wa Mambo ya Nje wewe mpumbavu?? Tatizo la watu wenye akili finyu kama wewe ni uelewa mdogo..matatizo kibao ndani ya nchi lijamaa liko kwenye nchi za watu kutembeza bakuli na kupiga picha na Boyz II Men kwa kodi za mama na baba zetu hohe hahe..iko siku haya yote yatakuwa na mwisho.
Rai yangu: Watanzania tuamke na tuseme hizo safari zatosha baba!
Wapendwa wanaJF
Ninakili, nilikuwa mmoja wa wale waliompenda na kumshabikia sana Rais Kikwete sanasana katika kipindi chake cha kwanza cha Uongozi.
Lakini, jinsi siku zinavyoenda ninajaribu kureview nini hasa kwa Rais Kikwete? Kwa bahati mbaya sioni chochote kwa Mh. J.K
Ni Rais gani duniani anasafiri hivi? Hii gharama yote ni juu ya nani? Safari hizi kweli zina tija kwa Watanzania?

Mbona na ww unasafiri na hatusemi basii ?. Na sie twasema na wewe basi humu JF kwa kuleta thread ambazo ni za kitoto na zisizo na manufaa kwa great thinkers huku ukijawa na wivu wa kike
Mbona na ww unasafiri na hatusemi basii ?. Na sie twasema na wewe basi humu JF kwa kuleta thread ambazo ni za kitoto na zisizo na manufaa kwa great thinkers huku ukijawa na wivu wa kike
Kumbe wewe unataka thread zenye tija jf na sio kwa taifa? Kweli wewe ni great thinker lol..wewe ni great thinker lol..Mbona na ww unasafiri na hatusemi basii ?. Na sie twasema na wewe basi humu JF kwa kuleta thread ambazo ni za kitoto na zisizo na manufaa kwa breat thinkers huku ukijawa na wivu wa kike