Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Jamaa alikuwa noma, kafika hadi Australia.....utafikiri yeye ndo alikuwa rais wa dunia, hata katibu mkuu wa UN sioni akisafiri duniani kama mzee wa msoga...
 
Kikwete Mungu aendelee kumbariki na kumpa miaka mingi!! Hakuwahi waumiza watanzania, hata walimpokosoa alijua kabisa yeye siyo Mungu na hajakamilika, alishaurika, na alijua Tanzania ni ya watanzania wote!

Ndiye Rais aliyechaguliwa kwa kura nyingi za kweli,

Hata kama alizunguka duniani ila tuliona matunda yake, ajira zilikuwepo, mishahara iliongezeka, huduma za afya zilikuwa bora, ndo aliyeunganisha mikoa na wilaya nyingi kwa barabara, shule nyingi za kata zilijengwa kipindi chake, na karibia zote zilikuwa na walimu wa kutosha, hakupendelea ukanda, ukabila,

Wafanyakazi kwa wafanyabiashara walinufaika.

Kwanini tusimuombee Mungu azidi kumuweka! Sala za watanzania zitaendelea kukulinda!!
 
Kweli kabisa
 
enzi hizo nami nilipata nafasi ya kutafuna kidogo pesa za mradi fulani hivi, maisha yalikuwa matamu sana semina tunakutana hoteli za kitalii kugawana padiem
 
Back
Top Bottom