Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Pamoja na JK kupiga safari 427 za nje ya nchi katika utawala wake ambapo gharama yake ni kubwa mno.

Kulikuwa na wafanyakazi hewa.
Walimu waliajiriwa kila mwaka na watumishi kupandishwa madaraja.
Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ilikuwa sio haba ukilinganisha sasa.
Wizi mkubwa wa mali za umma ulitokea ikiwemo ESCROW.

Hela alizitoa wapi???

Mbona hali ni tofauti na sasa awamu hii ya Jiwe????
Hakuwahi kujenga miradi mikubwa ya kimkakati, km ununuzi wa ndege,ujenzi wa reli,bwawa la umeme,kwa upigaji wa enzi za kikweta hata mmoja tu kati ya hii miradi usingewezekana.
 
Tunachoshukuru sana ni Mungu kuingilia kati, pamoja na sisi kutambua mwelekeo wa korongoni ila Mungu ndio alitambua zaidi hadi akaamua kutunusuru.
 
Pamoja na JK kupiga safari 427 za nje ya nchi katika utawala wake ambapo gharama yake ni kubwa mno.

Kulikuwa na wafanyakazi hewa.
Walimu waliajiriwa kila mwaka na watumishi kupandishwa madaraja.
Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ilikuwa sio haba ukilinganisha sasa.
Wizi mkubwa wa mali za umma ulitokea ikiwemo ESCROW.

Hela alizitoa wapi???

Mbona hali ni tofauti na sasa awamu hii ya Jiwe????
Hivi kipindi cha Jk na kipindi cha Magu ni kipindi gani wanufaika wa mikopo ya Elimu ya juu ilikuwa ni kubwa?

Na kipindi hicho ambacho mishahara mkisubiri mpaka tarehe 40 hamjapata na ndiyo kipindi mpaka mishahara kulipa ilikuwa shida mpaka pesa ikopwe..!!
 
JK pamoja na mapungufu yake, kila mtu alinufaika kwa namna yake.

Mikopo Elimu ya juu ilikuwa sio haba kulingana na vigezo kama priority ila alipoingia JPM alivuruga sana, hats wewe utakuwa shahidi hadi watu(wanafunzi) wakaanza kushinikiza hadi utaratibu wa zamani ukarejeshwa.

Kuhusu mishahara ingawa ilikuwa na ucheleweshwaji lakini waliipata na stahiki zao zote za madaraja na nyongeza walizipata. Hata kama Mtu alikuwa anakopa kwa Mangi ila alikuwa na uhakika wa kurejesha. Kwa JPM ikawa ni tofauti, stahiki zote zilipigwa pini.
 
Zaman hiyo mikopo si wakipata watoto wa wenye fedha? Na wakirudisha kweli?
 
Mikopo ya elimu ya juu?una takwimu?

Walipata waliokuwa na sifa ikiwemo kozi zao kama zilikuwa priority.

Mimi pamoja na watu 5 katika familia tuliobahatika kusoma Chuo enzi JK, wote tulipata mkopo kwa 100% isipokuwa watu 2 walipata chini ya 100%.

Ilipofika kipindi cha JPM wadogo zetu 2 mmoja alikuwa Civil, mwingine MD, hawakupewa hata senti 5 kwa ajili ya mkopo.
 
Eti uzalendo? Wa nini? Pata madaraka kula bata, bata ndio mpango mzima.Ukitaka maisha mazuri gombea urais ushinde basi
 
Mheshimiwa wa rais Dr Jakaya Kikwete nikivutio duniani kwa sasa baada yakuwa ni kiongozi wa kipekee Afrika na duniani,

Kwanza anaitwa/anajita Dr Jakaya Kikwete wakati hajawahi kusoma popote duniana na hatasoma milele kwa ngazi hiyo ya PHd....
Aisee mzee alikula bata
 
Kikwete alikuwa Rais mpenda sifa na laghai la kisiasa kupata kutokea.

Kisa cha yeye alipokaribia kuondoka madarakani na kuamua kuzunguka Dunia nzima kuaga hakika ule ulikuwa ni zaidi ya ufisadi wa kutisha!

Wewe uliona wapi Rais yeyote wa katika Ulimwengu huu akikaribia kuondoka huzunguka kuaga?!

Ifikie wakati hawa watu washitakiwe kwa matumizi mabaya ya fedha za wananchi.

Kwa ujinga ule pekee Kikwete hakustahili awe uraiani leo.
 
Back
Top Bottom