Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Mheshimiwa wa magogoni juzi alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!<br />
Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005!
<br />
<br />
Ilikuwa ya 317 mkubwa!
 
hii nilikuwa ni ya chama cha mapinduzi lakini tumelipia kama state inaingia akili kweli
safari za kikwete zichunguzwa kuna zisizo a tiba na za kubambika

 
Wadau naomba turudi nyuma kidogo na tuangalie sababu na hali halisi iliyopelekea kutokea kwa FRENCH REVOLUTION na tabia za KING LOUIS XIV na mke wake na hali ya maisha iliyokuwepo kwa WANANCHI wa France kipindi hicho na kisha fanya tathimini peke yako halafu jiulize mwenyewe na ujipe majibu mwenyewe............halafu.....?
 
nahisi hizi safari mmejumlisha na za toka dar kwenda mikoani au mmekosea labda toka alivyokuwa waziri au toka alipoingia katika siasa... lakini mi naona tatizo siyo safari tatizo safari zina faida gani katika utawala wake, labda tujitaidi kuainisha hasara na mafanikio ya kila safari afu zile mbaya tuzijengee hoja?
 
mmmmmh! hivi huwa ni warabu pekeyao wanaojitoa mhanga
 
Mwanzoni kabla sijashtukia kuwa your mission is homiside nilikuwa mchangiaji mzuri sana nimebaini kumbe hata zuri likifanyika ili mradi limefanywa na mtu usiyempenda lazima utaongea vibaya. Baba yako alishakuaga safari ngapi. Na unaweka kumbukumbu zote za baba yako alipokuwa akienda kwa mama yako wa kambo? Yatakushinda. Unasahau alishinda kwa 81% mwaka 2005 na 61% mwaka 2010? Basi chukua 20% za 2005 na 9% umpelekee unayempenda aongezee ili awe rais wako awe anamuaga mkeo na wewe.
 
Pole kwa kutumia nishati mbadala kuwasha computer yako kuchangia jukwaani
 
Mheshimiwa Rais Kikwete ni Rais wa nchi...na vilevile ni Mkiti wa Chama usifikiri kuna Kikwete wawili..kama suala ndo hilo..ulitaka atumie fisi wa bibi yako kwenda Namibia? Sana sana ungeshauri huku ukiwa na ungo ambao ndo mbadala wa ndege yake...
 
Hata wewe unaweza kujitoa mhanga....tupange tukajitoe...tuwasiliane vipi kamanda?
 
Siku akitangazwa Rais kutoka Kilimanjaro na akaapishwa salama asipigwe mimba...njoo unipige bomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…