Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Mheshimiwa Rais wetu yuko Brazil kwenye ziara. Akiwa huko kakutana na Rais Mstaafu Lula da Silva na Kocha mstaafu Maximo aka 'Ze Futibo is a gamu'

lu1.jpglu8.jpg
 
Samahani kwa kuchelewa ku update, hili limetokea kulingana na mazingira yangu ya kazi, na hali ya hapa Brazil kiusalama!

UPDATES:

Safari ya 324!
15/04/2012 Rais Jakaya Kikwete ametua Brazili kwa ziara ya kikazi,
 
Hivi kweli Maximo alikuwa kwenye ratiba ya kuongea na Rais? Ni kujidhalilisha ..
 
Watz kwa kuosha ni noumar. Eti maximo amekuja hotelini pia hana mpango wa kuja kufundisha soka bongo. Big up Baba MwanaAsha kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake.
 
UPDATES:

SAFARI YA 325
Leo tarehe 22 rais Jakaya Kikwete amewasili Malawi kushiriki mazishi ya aliyekuwa rais wa Malawi Bingu wa Mtharika!

Raitba inasema atarudi tz tarehe 24
 
Hata akina Christopher Columbus, Magellan, Vasco Da Gama, na explorers wengine, walianza hivi hivi mpaka wakajikuta wamezunguka dunia.
 
Safari ni 324 ukijumrisha siku anazokaa kuho ughaibuni, let say ana kaa wastani wa siku 4, Rai JMK amekuwa nje ya nchi siku 4X 324 = 1296 abazo ni sawana 1296/365 = 3.556
Kwa hiyo katika muda wa miaka 7 kikwete amekaa nje ya nchi 3.556/7 X 100% = 50.75%~ 51%

Huu ni wastani wa safari 324/7 =46.285 kwa mwaka
Kwa miaka 3 iliyo bakia anategemea kusafiri mara 46.85 X 3.5 = 162
Kwa sababu hiki ni kipindi cha lala salama usishangae akisafiri mara 200.

I saw Obama's fanpage on FB anavyoshambuliwa kwa safari zake on tax payer's money and kuna wanaotetea na kupinga, pengine tujiulize tumefaidika na nini?

Hii ya JUBA Kenya wameenda wakiwa wamekamilika kwelikweli....

Je tunapata tija gani kama nchi kwa safari hizi ambazo kama kweli ni 313 means amekuwa nje almost the whole year! Ukiacha 28days za likizo...sasa wasting a year in 5yr reign is no small joke, his pace can only be beaten by Mugabe...

Nadhani ni muhimu kuzichambua na kuangalia faida husika kwa Tanzania...pengine ndio zimeleta ma investment ya ukweli kama Symbion Power
 
By TUMBIRI:
Wanabodi,
Ufuatao ni mchanganuo wa gharama ya safari ya Rais Kikwete huko Brazil. Gharama za posho vimezingatia viwango vya posho kama zinavyoelekeza kwenye waraka wa serikali wa Malipo ya posho Safari kwa Viongozi na Watendaji wa Serikali. Katika mchanganuo huu imekadiriwa gharama ya tiketi ya ndege kwenda na kurudi Brazil ni US$ 590.

MCHANGANUO WA GHARAMA ZA SAFARI YA RAIS KIKWETE HUKO BRAZIL

No

NAME

DAYS

PERDIEM RATE

ON TRANSIT

TOTAL PERDIEM

OUTFIT ALLOWANCE

AIR TICKET

TOTAL

(a)

(b)

(c )

(d)

(e)

(f)

(d) + (e) + (f)

1/2 x (b)

(a) x (b) + (c )

30 % X (d)

US$

US$

US$

US$

US$

US$

1

Afisa Usalama wa Taifa

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

2

Aloyce Masanja

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

3

Anna Nkinda

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

4

Body guard 1

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

5

Body guard 2

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

6

Daktari wa Rais

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

7

Gerson Msigwa

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

8

Jakaya Mrisho Kikwete

10

520

260

5,460.00

1,638.00

590.00

7,688.00

9

Katibu / Msaidizi wa First Lady

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

10

Katibu / Msaidizi wa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

11

Katibu / Msaidizi wa Rais

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

12

Katibu / Msaidizi wa Waziri wa Zanzibar

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

13

Mpiga Pasi

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

14

Mpiga picha

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

15

Mpishi

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

16

Mulamula

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

17

Mwandishi wa Habari wa Rais

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

18

Mwandishi wa Hotuba wa Rais

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

19

Naibu Waziri Mambo ya Nje

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

20

Protocal Officer

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

21

Salma Kikwete

10

520

260

5,460.00

1,638.00

590.00

7,688.00

22

Susan Mlawi

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

23

Waziri wa Zanzibar

10

420

210

4,410.00

1,323.00

590.00

6,323.00

TOTAL IN US$

148,159.00

Exchange rate (TZS/US$)

1,700.00

TOTAL IN TZS

251,870,300.00
 
Safari ni 324 ukijumrisha siku anazokaa kuho ughaibuni, let say ana kaa wastani wa siku 4, Rai JMK amekuwa nje ya nchi siku 4X 324 = 1296 abazo ni sawana 1296/365 = 3.556
Kwa hiyo katika muda wa miaka 7 kikwete amekaa nje ya nchi 3.556/7 X 100% = 50.75%~ 51%

Huu ni wastani wa safari 324/7 =46.285 kwa mwaka
Kwa miaka 3 iliyo bakia anategemea kusafiri mara 46.85 X 3.5 = 162
Kwa sababu hiki ni kipindi cha lala salama usishangae akisafiri mara 200.

Ebwaaaaanae khaaaa hivi kweli tuna rais au????
 
Whats ****ing wrong with this mtembezi?
ina maana home pabaya sana! Hivi ccm
hamuwezi kumtoa? Why tunapata uozo
huu?
 
Huyu bora aanzishe brandname yake kama ile JW (Johnie Walker - Keep Walking).
Yeye kwa kuheshimu na kukuza lugha ya taifa itakuwa:
JM (Jakaya Mtembezi - Endelea Kutanua)
 
Huyu bora aanzishe brandname yake kama ile JW (Johnie Walker - Keep Walking).
Yeye kwa kuheshimu na kukuza lugha ya taifa itakuwa:
JM (Jakaya Mtembezi - Endelea Kutanua)

Haahaa ulipotaja john walker umenikumbusha Jack Daniel
 
Pole Sana Mjomba kumbe ulikuwa hujui!!!!!!

Kwa Taarifa yako tangu Rais wetu aingie Madarakani tangu Dec 2005 hadi leo ni safari yake ya 325……

Kwa heasbu ya haraka haraka uki assume kila Safari ni siku 2: unapata jumla ya siku 325x2=è 750days. Zaidi ya Miaka miwili kati 6 Rais yuko Angani au Nje ya Nchi.

Inavyosemekana kila safari kwa wastani Rais pamoja msafara wake ni $150,000 kwa safari Moja=è$150,000x325=$48,750,000
Kwa sababu ya Itifaki/protocol mara Nyingi Gharama za Rais zinalipwa na Balozi zetu kwa hiyo inakuwa double payment kwa serikali
It is another $48,750,000

Total $97,500,000 x1600===èThs. 1,560,000,000,000
 
UPDATES:
Safari ya 326 tangu mkuu wa nchi aingie madarakani!

Rais amewasili Addis Ababa Ethiopia KWA KONGAMANO LA UCHUMI LA KIMATAIFA KWA AFRICA
 
Mheshimiwa Rasi Kikwete ville vile amekaribishwa na Rais Obama kwenda kwenye mkutano wa G8 huko Camp David kuanzia tarehe 19 May 2012. Katika mkutano huo kutakuwa na viongozi WANNE tu toka Africa (Mwenyekiti wa African Union na Rais wa Benin Yayi Boni, Waziri Mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi, Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete na Rais wa Ghana Mills); na hiyo itakuwa ni safari yake ya 327 tangu aingie madarakani kama nyingine haitaibuka hapo katikati. Kwa kuwa wengi wa wana JF wanapenda kuomnba ushahidi, fuata link zifuatazo ndizo kianzio cha habari:

SOURCE 1:
Kikwete invited to G-8 Summit at Camp David

SOURCE 2
:MICHUZI: Obama invites four Africa leaders to Camp David
 
Upo sahihi kabisa mtz mwenzangu!
 
Suti ya Rais.jpg

"Karibu Mheshimiwa...." anaonekana kusema Mkurugenzi wa World Economic Forum kwa Afrika Bi. Elsie Kanza wakati wa kumpokea Rais Jakaya Kikwete alipowasili hoteli ya Sheratonjijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo Aprili 9, 2012 tayari kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika…
 
Back
Top Bottom