Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,967
- 2,147
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I saw Obama's fanpage on FB anavyoshambuliwa kwa safari zake on tax payer's money and kuna wanaotetea na kupinga, pengine tujiulize tumefaidika na nini?
Hii ya JUBA Kenya wameenda wakiwa wamekamilika kwelikweli....
Je tunapata tija gani kama nchi kwa safari hizi ambazo kama kweli ni 313 means amekuwa nje almost the whole year! Ukiacha 28days za likizo...sasa wasting a year in 5yr reign is no small joke, his pace can only be beaten by Mugabe...
Nadhani ni muhimu kuzichambua na kuangalia faida husika kwa Tanzania...pengine ndio zimeleta ma investment ya ukweli kama Symbion Power
Safari ni 324 ukijumrisha siku anazokaa kuho ughaibuni, let say ana kaa wastani wa siku 4, Rai JMK amekuwa nje ya nchi siku 4X 324 = 1296 abazo ni sawana 1296/365 = 3.556
Kwa hiyo katika muda wa miaka 7 kikwete amekaa nje ya nchi 3.556/7 X 100% = 50.75%~ 51%
Huu ni wastani wa safari 324/7 =46.285 kwa mwaka
Kwa miaka 3 iliyo bakia anategemea kusafiri mara 46.85 X 3.5 = 162
Kwa sababu hiki ni kipindi cha lala salama usishangae akisafiri mara 200.
Huyu bora aanzishe brandname yake kama ile JW (Johnie Walker - Keep Walking).
Yeye kwa kuheshimu na kukuza lugha ya taifa itakuwa:
JM (Jakaya Mtembezi - Endelea Kutanua)
Upo sahihi kabisa mtz mwenzangu!Mheshimiwa Rasi Kikwete ville vile amekaribishwa na Rais Obama kwenda kwenye mkutano wa G8 huko Camp David kuanzia tarehe 19 May 2012. Katika mkutano huo kutakuwa na viongozi WANNE tu toka Africa (Mwenyekiti wa African Union na Rais wa Benin Yayi Boni, Waziri Mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi, Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete na Rais wa Ghana Mills); na hiyo itakuwa ni safari yake ya 327 tangu aingie madarakani kama nyingine haitaibuka hapo katikati. Kwa kuwa wengi wa wana JF wanapenda kuomnba ushahidi, fuata link zifuatazo ndizo kianzio cha habari:
SOURCE 1: Kikwete invited to G-8 Summit at Camp David
SOURCE 2:MICHUZI: Obama invites four Africa leaders to Camp David