Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Huyo ni rais wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.
 
Wenye takwimu sahihi watuwekee hapa ,Siku ngapi amekaa ziarani nje na siku ngapi amekaa bongo faida tuliyopata na hasara hiyo ingesound ,
Yote hayo yamo humu kwenye thread hii, pitia zote utaona!
 
Safari yake ya 327,
Rais Jakaya Kikwete yupo nchini Marekani tangu tarehe 16/5/2012 akisubiri kuhudhuria mkutano unaotarajiwa kufanyika tarehe 19/5/2012,
 
Mmwacheni tu aendelee kusafiri, haitasaidia kupunguza miadi yake ya safari, tulishafanya kosa ila tusirudie kosa 2015
 
Mkuu umenena sana, hivi taratibu za kumfanya awepo kwenye maajabu hayo zipoje? Maana anaweza kuiletea heshima kubwa nchi yetu!

yeyote ambaye ana documentary evidence ya safari za mkuu awasileshe hapa for onward transmission to guiness world record website. Normally application huchukua 3 to 4 weeks to be proccesed. Hata hivo kutokana na umuhimu wa tuzo we can apply to fast track process ambao jibu la application hujibiwa in 3 to 4 days.
 
Hapa duniani kuna watu huwa wamelaaniwa tokea wanapozaliwa, inawezekana na 'huyu jamaa' akawa amelaaniwa. Under normal circumstance hawezi kufanya mambo ya kitahaira namna hii. I am sure itakuwa laana tu!!!
 
Kama ni documents si hizihizi za weza kutumika au?
 
Hapa duniani kuna watu huwa wamelaaniwa tokea wanapozaliwa, inawezekana na 'huyu jamaa' akawa amelaaniwa. Under normal circumstance hawezi kufanya mambo ya kitahaira namna hii. I am sure itakuwa laana tu!!!
Duuuuh punguza ukali wa maneno mkuu, huyu ni rais wa kila kiumbe tz!
 
View attachment 53877

"Karibu Mheshimiwa...." anaonekana kusema Mkurugenzi wa World Economic Forum kwa Afrika Bi. Elsie Kanza wakati wa kumpokea Rais Jakaya Kikwete alipowasili hoteli ya Sheratonjijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo Aprili 9, 2012 tayari kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika…
Hiyo hapo inayomkaribisha ni chupi yake..alafu iko kwenye TRUVADA.......both of them......
 
Safari yake ya 327,
Rais Jakaya Kikwete yupo nchini Marekani tangu tarehe 16/5/2012 akisubiri kuhudhuria mkutano unaotarajiwa kufanyika tarehe 19/5/2012,

ooh...oooh!!!
...kaaazi kwelikweli
 
Aisee!!! this is the president.

ina maana kama amesafiri nje ya nchi mara 327 mpaka kufikia sasa, na ikiwa wastani wa kuwa nje kwa kila safari anayoifanya ni siku tatu; hivyo basi jumla ya siku alizokuwa nje ya nchi tangu aingie madarakani 2005 (yaani takriban miaka 6 na nusu tu) anekaa nje ya nchi 327 X 3 = siku 918. Ambapo idadi hii ni sawa na miaka 2 na nusu.

Na ikiwa kila safari imegharimu tsh.mil.200, hii ina maana kuwa; 200,000,000 x 327 =65,400,000,000 (bil.65.4). Hii ni pesa nyingi sana kwa nchi masikini kama yetu ite kuitumia kwa safari zisizo na tija tu.............kuhemea vibaba.
 
Hii thread ilikuwa sticky.....pls irudisheni iwe sticky tuendelee kupata uvumbuzi wa bwana kikwete duniani......
 
SAFARI YA 328:

Leo tarehe 1/7/2012

Rais wa Tanzania Mh Jakaya M. Kikwete na ujumbe wake wamesafiri mpaka Kigali Rwanda kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo!
 
Huyu ni dhaifu sana. Anajua kusafiri tu hana lolote.
 
kaka kama inawezaekana..nauomba ui-poat hii kitu kitabusura kule(facebook) ...ama atleast iwe posted katika kila thread ya jukwaa la siasa..hii itasaidia...tafadhali sana Jason Bourne
 
Back
Top Bottom