Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote hayo yamo humu kwenye thread hii, pitia zote utaona!Wenye takwimu sahihi watuwekee hapa ,Siku ngapi amekaa ziarani nje na siku ngapi amekaa bongo faida tuliyopata na hasara hiyo ingesound ,
Presida JK anastahili tuzo ya most "travelled" president while in office, mzee kweli ni frequent flyer ile mbaya. Go to guinessworldrecord.com na mteu presida JK.
Mkuu umenena sana, hivi taratibu za kumfanya awepo kwenye maajabu hayo zipoje? Maana anaweza kuiletea heshima kubwa nchi yetu!Presida JK anastahili tuzo ya most "travelled" president while in office, mzee kweli ni frequent flyer ile mbaya. Go to guinessworldrecord.com na mteu presida JK.
Mkuu umenena sana, hivi taratibu za kumfanya awepo kwenye maajabu hayo zipoje? Maana anaweza kuiletea heshima kubwa nchi yetu!
Kama ni documents si hizihizi za weza kutumika au?yeyote ambaye ana documentary evidence ya safari za mkuu awasileshe hapa for onward transmission to guiness world record website. Normally application huchukua 3 to 4 weeks to be proccesed. Hata hivo kutokana na umuhimu wa tuzo we can apply to fast track process ambao jibu la application hujibiwa in 3 to 4 days.
Duuuuh punguza ukali wa maneno mkuu, huyu ni rais wa kila kiumbe tz!Hapa duniani kuna watu huwa wamelaaniwa tokea wanapozaliwa, inawezekana na 'huyu jamaa' akawa amelaaniwa. Under normal circumstance hawezi kufanya mambo ya kitahaira namna hii. I am sure itakuwa laana tu!!!
Hiyo hapo inayomkaribisha ni chupi yake..alafu iko kwenye TRUVADA.......both of them......View attachment 53877
"Karibu Mheshimiwa...." anaonekana kusema Mkurugenzi wa World Economic Forum kwa Afrika Bi. Elsie Kanza wakati wa kumpokea Rais Jakaya Kikwete alipowasili hoteli ya Sheratonjijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo Aprili 9, 2012 tayari kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika…
Safari yake ya 327,
Rais Jakaya Kikwete yupo nchini Marekani tangu tarehe 16/5/2012 akisubiri kuhudhuria mkutano unaotarajiwa kufanyika tarehe 19/5/2012,