Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UPDATES
Safari ya 330:
Hivi punde tumewasili nchini Uingereza,
Msafara wa mh rais Jakaya Kikwete umewasili Hyatt Regency London-The Churchill
Ziara hii imetufikisha hapa kwaajili ya mh rais kuhudhuria mkuta unaohusu mambo ya Family plan!
Hivi mpaka 2015 si atakuwa na 700 huyo?
msafara una watu wangapi?
angekupunguza safari pesa ya kuwalipa madaktari ingepatika mabona akina mwai kibaki sioni wakisafi namna hii na nchi yao inachanja mbunga kimaendeleo....karudi uk katua ethiopia, akitoka hapo sijui atatua wapi?
Taifa halina rais!
angekupunguza safari pesa ya kuwalipa madaktari ingepatika mabona akina mwai kibaki sioni wakisafi namna hii na nchi yao inachanja mbunga kimaendeleo....
UPDATES:
SAFARI YA 332.
Rais Jakaya Kikwete amewasili Kampala, Uganda,*kuhudhuria mkutano wa*nchi*za Maziwa Makuu asubuhi Agosti*8, 2012
Karudi UK katua Ethiopia, akitoka hapo sijui atatua wapi?
Taifa halina rais!