Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

UPDATES

Safari ya 330:

Hivi punde tumewasili nchini Uingereza,

Msafara wa mh rais Jakaya Kikwete umewasili Hyatt Regency London-The Churchill

Ziara hii imetufikisha hapa kwaajili ya mh rais kuhudhuria mkuta unaohusu mambo ya Family plan!

msafara una watu wangapi?
 
msafara una watu wangapi?

Ninavyofahamu misafara ya viongozi wa kitaifa kama maraisi, mara nyingi huanzia watu 30 pamoja na wakuu wa itifaki wote, sasa kwa huyu wetu usishangae akasafiri na watu 70 si unajua sasa hivi watakuwa wanamtishia kuwa aongezewe ulinzi kwakuwa watu hawampendi!

Labda tusubiri JB atujuze vema!
 
mimi ni mzurulaji na nimetembea mno duniani kote kote.. , ila mhe,jk.. Kazid jamani..
 
Vasco Da Gama pori a.k.a The Explore, bado Mwezini tu ndio hajafika na Mars lakini kama kungekuwa na usafiri wa kwenda huko angeenda.

Duuh kweli Mr. Dhaifu ni kiboko kwa safari hata safari za kutembelea wagonjwa huko ughaibuni akialikwa atakwenda tu.
 
Huyu angekuwa mchawi angezurura vichochoro vyote vya dunia!kha!
 
Karudi UK katua Ethiopia, akitoka hapo sijui atatua wapi?

Taifa halina rais!
 
karudi uk katua ethiopia, akitoka hapo sijui atatua wapi?

Taifa halina rais!
angekupunguza safari pesa ya kuwalipa madaktari ingepatika mabona akina mwai kibaki sioni wakisafi namna hii na nchi yao inachanja mbunga kimaendeleo....
 
Vasco Da Gama, The Explorer yaani yupo Addis Ababa Ethiopia. Hivi kwanini tusiiuze hii ndege? Huyu Mtu analitia hasara hili Taifa kwa safari zake za kipumbavu na za kijingajinga.

Au anatafuta wakumuhonga suti?
 
UPDATES:

SAFARI YA 332.

Rais Jakaya Kikwete amewasili Kampala, Uganda,*kuhudhuria mkutano wa*nchi*za Maziwa Makuu asubuhi Agosti*8, 2012
 
UPDATES:

SAFARI YA 332.

Rais Jakaya Kikwete amewasili Kampala, Uganda,*kuhudhuria mkutano wa*nchi*za Maziwa Makuu asubuhi Agosti*8, 2012


Mkuu nakupongeza kwa juhudi zako za kutujuza mara kwa mara,
Hivi huwezi kutupa walau average ya gharama tulizoingia kutokana na safari hizi?

Maana mimi naona hasara ya fedha ni kubwa sana kuliko nchi kutokuwa na Rais kwa siku 332 ( almost a year.)

kama kila tripu amekaa nje ya kwa siku 3, ina maana amekaa siku 996. Ukigawa kwa safari 366 ni sawa na miaka miwili na miezi 7. Gharama yake ngapi? ndo swali langu.
 
Tumeshamzoea mtalii huyo.. Ila acisahau kama kesho kuna cikukuu ya nane nane so awahi kurejea kuja ku-officiate..
 
Imani yangu RITZ atamfikishia taarifa, amwambie tu mpangaji wetu wa magogoni (mshua wake) mabosi wake tunajiandaa kumuadabisha muda si mrefu na M4C,,,,,Chopa zitaruka mpaka MSOGA na kufuta historia ya utawala wa Macheck Bob pale magogoni na Tz kwa ujumla..

"Ndiyo tatizo la kuwa na Rais ******" Prof. Ibrahim Haruna Lipumba
"Tatizo ni kuwa Rais wetu ni Mshamba, mie nimekaa ulaya miaka zaidi ya ishirini, sasa niwe rais na ulaya niende kila siku kufanya nini? Huyu kapata nafasi ili atembee, mie siendi pale kutembea" Mh. Hashim Rungwe-NCCR-Mageuzi
 
Back
Top Bottom