Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

kwa tathimini ya haraka sana yawezekana gharama za safari zake zitakuwa kubwa kuliko misaada aliyobeba toka kwa wakuu wa kaya.hii ndo bongo lala unaliwa.
 
Mkuu Jason bourne, nakupa pongezi za pekee kwa kuanzisha thread hii tarehe 10th July 2011 saa 12:45 jioni. Ni miaka minane toka Raisi wetu aingie madarakani na katika kipindi hicho ameweza kuishi ugenini kwa muda wa miaka mitatu! Kumbukumbu hii yaweza kupatikana JF tuu, hongera sana!
 
Last edited by a moderator:
Kagame akimuita kilaza watu wanakuja juu madai yao eti ni uzalendo kumtetea rais, huyu jamaa ni laana kwa hii nchi!

Good Comment mkuu

MFANO
Unasafiri nakutumia sh 100 kwa gharama zote safari ya kuomba misaada na kutafuta wawekezaji, then unawapata wanakuja kuinvest kwa sh 20 indirect na kuajili watu wao, plus free kodi kwa miaka 4 na kubeba arthi yetu (migogoro ya arthi nchi) .. alaf unatoka ukishangilia tumepata wawekezaji wa kusaidi taifa ili, kweli kabisaaaaaaaa!!!!!!!!

Mmmh, "akili dogo, kuongoza akili kubwa by mch msigwa"

Tanzania ni ajabu la 8 Duniani
 
Safari zooote hizo ni kukamilisha kauli mbiu yake ya 'ponda raha kufa kwaja'Safari za SINDBAD alau zilikuwa na manufaa!
 
Bado amebakiza safari moja tu muhimu ktk maisha yake:kwenda kituo cha kimataifa cha utafiti wa anga za juu!mungu akupe nini bwana!
 
Labda kwenye cv yake kuna hobi ya kupenda kusafiri jamani...
 
dah...my poor president,ndo maana kina kenyata wanamdharau na kumtenga coz wenzie wako kikazi zaid
 
raisi wa kihistoria miaka 8 Nyerere kakaa miaka 23 lakini hata nusu yake hajafikia
 
Kwa wastani wa siku tatu kila safari: hadi leo trh 30/8/2013, 354 x 3= 1062 days mkuu hakuwa nchini. Hii ni sawa na miaka 2.9= 3 yrs.

Kama ni rais basi tunaye!!!!!
 
Mwaka mmoja una siku 365...kwa wastani kama safari moja ni siku moja basi naona mkuu wa kaya amekuwa safarini mwaka mzima! 🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Rais hakai nchi hii kwa sababu mna kelele sana, piga hesabu safar zake halafu iwe kila safari amekaa siku mbili tu jumlisha zile alizokaa wiki moja moja, ana mke nn na huko?
 
......ila miaka 3 mingi sana jamani,huyu jamaa ni noma anatisha..Nakubaliana na mdau humu amesema inawezekana kusafiri ni hobby hata kwenye cheti ipo duuh!...miaka 3..
 
ikiwa kila anaposafiri anatumia million 150 hadi sasa atakuwa keshatumia zaidi ya Billion 55.
huyo ndio JK.
maCCM watapiga makofi kama kawaida yao
Magufuli alisema JK asiposafiri hatutajegewa barabara.
Hivi kuwa mwana CCM lazima uwe na akili mfyato????
Hizi fedha zingejenga hata hosp moja tu nzuri yenye kila vifaa vinavohitajika na madaktari waliobobea
tungeokoa maisha ya wengi.
 
Janga Kuu (JK)=Dhaifu

The wise once said; if u can't deliver confuse or avoid them.
 
Back
Top Bottom