Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
Jk ni janga la taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Kikwete awasili nchini Malawi leo kuhudhuria mkutano wa viongozi wakuu wa nchi za SADC
Mkuu huyu jamaa kuna siku atapanga hata ziara ya kwenda akheraRais Kikwete awasili nchini Malawi leo kuhudhuria mkutano wa viongozi wakuu wa nchi za SADC
Jk ni janga la taifa
Sasa yupo Australia
Duuh.. Juzi hapa alienda Zimbabwe leo tena Australia..! Kweli presidaaa wetu hobby yake ni kuzurura..
Ndugu, kaenda Austria, sio Australia. Hizo ni nchi mbili tofauti.
mi nilifikiri akifikisha siku 354 kutakuwa na ka -sherehe fulani ka ku-maliza mwaka 1 Jason bourne