Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Mods; Paw; Buchanan swali langu ni kuhusu TOPIC TITTLE's; nimeweka TOPIC TITTLE [Habari ]

kuhusu
Uingereza yarahisisha upatikanaji wa viza nimeshangaa kuona Imejumuishwa na SAFARI za rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005!
Kinachonishangaza ni kuwa Hizo habari hazifanani hata kidogo ni kipaumbele gani imezifanya ziwekwe pamoja? Kwenye habari yenyewe hakuna kinachomhusu Rais KIKWETE wala hakuna kinachosema au kutaja ziara zake likewise urahisishari wa kutoa VISA Kwa Ubalozi wa Uingereza hauna lolote na Ubalozi ulioko pale Dar-es-salaam, so it is kinda misleading to our readers for keeping both TOPIC's together.... ???

c.c Invisible

mkuu edit post yako, uta-qoute vipi post yooote unaharibu ladha!!!!
 
Tarehe 11 Septemba mwaka huu kwenye gazeti la Raia Mwema, mwandishi ninaye mheshimu sana bwana MBWAMBO aliandika makala yenye kichwa cha habari; KWA KASI HII KIKWETE ATAVUNJA REKODI YA OBASANJO; ilikua ni kabla ya JK kwenda ziara yake huko USA na Canada, niliona kama mwandishi ni mganga wa kienyeji mwenye uwezo wa kupiga ramli na ikawa kweli, mimi hata nimeshachoka kufuatilia safari hizi. Na toka aingie madarakani sijui kama kwetu Kigoma kafika zaidi ya mara 5 ukiachia safari za Kampeni wakati wa uchaguzi,
 
Huyu ni wazir wa mambo ya nje na analiua taifa....

Kwa hiyo ameshampiku Obasanjo au bado? Ametumia kiaai gani na amerudi na vibaba vingapi ukizingatia entourage yake huwa kubwa sana.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
We are tanzania we should we apply our visa in kenya?

Mkuu ulitaka kusema nini? Nina wasiwasi utakapokwenda kuomba visa na Kingereza hiki hutapata. Nenda tuition, elimu haina mwisho.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kama kila safari amekaa kwa wastani wa siku tatu tu, ina maana kuwa katika miaka 8 ya utawala wake ametumiaa wastani wa miaka mitatu nje ya nchi! (Mwaka 1 una siku 365)
 
Safari 358 si mchezo. Mara nyingi akisafiri huku nyuma lazima kuna janga, ikishindikana kutokea janga basi hata tindikali lazima imwagwe usoni kwa mtu. Tuone safari hii huko Uingereza kwa waliberali nini kitatokea huku.
 
Rais Wetu ameondoka leo kwa ziara ya kikazi Uingereza sijui hii itakua ziara ya ngapi mwenye accurate data kamili atuambie
cc Jason Bourne.
 
duh kumbe safari ya 358 huyu jamaa noma kweli kweli ngoja tusubirie Mungu atusaidie isitokee janga lolote.

Safari 358 si mchezo. Mara nyingi akisafiri huku nyuma lazima kuna janga, ikishindikana kutokea janga basi hata tindikali lazima imwagwe usoni kwa mtu. Tuone safari hii huko Uingereza kwa waliberali nini kitatokea huku.
 
Back
Top Bottom