YouTube
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 936
- 361
Mods; Paw; Buchanan swali langu ni kuhusu TOPIC TITTLE's; nimeweka TOPIC TITTLE [Habari ]
kuhusu Uingereza yarahisisha upatikanaji wa viza nimeshangaa kuona Imejumuishwa na SAFARI za rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005!
Kinachonishangaza ni kuwa Hizo habari hazifanani hata kidogo ni kipaumbele gani imezifanya ziwekwe pamoja? Kwenye habari yenyewe hakuna kinachomhusu Rais KIKWETE wala hakuna kinachosema au kutaja ziara zake likewise urahisishari wa kutoa VISA Kwa Ubalozi wa Uingereza hauna lolote na Ubalozi ulioko pale Dar-es-salaam, so it is kinda misleading to our readers for keeping both TOPIC's together.... ???
c.c Invisible
mkuu edit post yako, uta-qoute vipi post yooote unaharibu ladha!!!!