Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Hizo ni za nje na bado ziara za ndani nadhani katika miaka nane tangu aingingie madarakani nadhani miaka mitatu au minne ameitumia njee ya ofisi.
Hesabu zina ukweli hizi! Kwani hizi idadi ya safari,ni siku alizoondoka hapa nchini tu,tofauti na siku alizokaa huko aliko kwenda! Hivyo,inawezekana siku ALIZOLALA nje ya Nchi,zinafika MIAKA MITANO!!