Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Hizo ni za nje na bado ziara za ndani nadhani katika miaka nane tangu aingingie madarakani nadhani miaka mitatu au minne ameitumia njee ya ofisi.

Hesabu zina ukweli hizi! Kwani hizi idadi ya safari,ni siku alizoondoka hapa nchini tu,tofauti na siku alizokaa huko aliko kwenda! Hivyo,inawezekana siku ALIZOLALA nje ya Nchi,zinafika MIAKA MITANO!!
 
aisee,amekaa nje ya nchi zaidi ya miaka minne,ukichanganya na za ndani amelala nje ya ikulu kwa miaka sita na bado safari za msoga kila wikend akiwa hana ziara..duh
 
Huyu jamaa alipokuwa mdogo inaonekana alikuwa hashikiki,ukimtuma chumvi saa nne za asubuhi inaonekana alikuwa anaileta saa moja jioni!

Sio kila king'aacho ni dhahabu,vingine ni VICHUPA!
 
Hajiiti Dr, bali wewe pamoja na wengine ndio mnamuita dk, kipindi anaapa sikusikia akijiita "Mimi dk J M K....., alisema "mimi J M K NAAPA......... , kwahy wananchi ndio tumuita hivyo!!
 
Kweli huyu ni rais wa aina yake! teh teh teh teh teh teh teh...
 
Hajiiti Dr, bali wewe pamoja na wengine ndio mnamuita dk, kipindi anaapa sikusikia akijiita "Mimi dk J M K....., alisema "mimi J M K NAAPA......... , kwahy wananchi ndio tumuita hivyo!!

Acha kutoa utetezi mwepesi hivi kwani hajui km media zinam-address as a Dr kila siku mbn B.W.Mkapa aliwahi kuwaambia hataki kua addressed as mtukufu na media zikaacha usijisahulishe sio mpk yy ajiite ila anajua na anakenua km kuitwa mbn hak walio orodheshwa wengine hawakuwahi kuitwa ivo media mpk anaingia ardhini JK alienda na jina la mwalimu.
 
Hizi ni idadi ya safari mkuu achilia mbali kulala nje ya ikulu!

Sasa kama kila safari alikaa angalau siku moja ukichanganya siku ya kwendea na kurudia zinakuwa siku tatu ukizidisha na idadi ya safari itaonyesha prezidaa amekuwa safarini kwa miaka mitatu mfululizo karibia na nusu ya kipindi alichokaa madarakani ama kweli msafiri kafiri
 
Yeriko tupeni na siku alizokaa nje ya nchi maana safari ni zaidi ya mwaka 1 bado siku alizokaa huko ughaibuni wananchi wa Tanzania tumelichuma janga Jk wacha litutafune maana tulisema mengi tukabezwa jk alishakuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ila hachoki kusafiri Ccm oyee
 
Jk alafu wakina mtela mwampamba wanamsema dr slaa na ndoa yake nimjuavyo Jk alali peke yake sasa hapo ana ndoa ngapi ambazo azijasajiliwa?kakobe amewachana live mnao fuatilia maidha ya mtu kuliko kujibu hoja ccm oyeee nape oyeeeea mawaziri mizigo oyeeeeee
 
jamaa anatengeneza record ya aina yake.wakati wenzake wakiacha legacy katika mambo mengi ya maana yeye kachagua safari.shame on us.
 
Mbona hamna updates anymore?

JK sasa anakaribia safari 400 lkn sisi tumegota palepale toka September na safari zake 357!!

Why hamna tena updates?
 
Naomba msiache kunijibu hili swala kati ya Rais wa nchi na raisi wa shirikisho la mpira wa miguu seif blatter nan anaetakiwa kusafiri sana?
 
kweli huyu Rais ni majanga,fuatilia safari za ubama ni kwamba hana safari nyingi kama huyu kikwete
 
Jamaa akimaliza kupokea mapendekezo ya rasimu mpya atanyanyuka. Chezea baba Mwanaisha wewe!
 
Tangu niliposikia kuwa anajifunza kuendesha ndege hata simlaumu tena.
 
Back
Top Bottom