Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

Unatia aibu JF...wewe na Lucas mwashambwa lazima mtakuwa mapacha!
 
Sasa ni nani angekosa kwenda kwenye opportunity kama hii?

African Development Bank imetushika MKONO sana kwenye Maendeleo -Viongozi wengi watatuonea gere but imagine huku tunalalamika ati kwanini asikae ofisini!

By the way is a day round trip!

Not a big deal!

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Rais anaenda kusaidia nini zaidi ya kuzurura tu, waendee watalaamu, wawekezaji na waziri wa sekta husika
 
Chawa kazini
Mkuu Kipepeo wa chuma, Theironbutterfly , kwasababu hatujuani umri humu, tunatukanana na kuvunjiana sana heshima humu!, unaweza kujikuta unamtukana mtu mwenye umri wa baba yako, au mama yako!. Mimi nakwenda 60!, kuniita chawa ni sawa na kunitukana!.

Sio kila kusifu ni uchawa!. Chawa wao kazi yako ni kusifu tuu kila kitu kwa nyimbo na mapambio, mimi nasifu pale tuu panapostahili sifa, lakini akiboronga anapigwa tuu spana za kutosha!. Chawa wa Mama hawezi kuleta bandiko lenye hoja kama HII humu!.
Mimi sio chawa!.
P
 
Unatia aibu JF...wewe na Lucas mwashambwa lazima mtakuwa mapacha!
Mkuu Mag3 , heshima, kitu cha bure!. Kunifananisha mimi na hawa machawa wa humu, sio kunitendea haki!.

Ni vile tuu hatujuani umri humu, tunatukanana na kuvunjiana sana heshima humu!, unaweza kujikuta unamtukana mtu mwenye umri wa baba yako, au mama yako!. Mimi nakwenda 60!, kuniita chawa ni sawa na kunitukana!, wewe Mkuu Mag3 , ni long timer humu, utakuwa unanijua what I stand for, kunifananisha na haya mazagazaga sio kunitendea haki hata kidogo!.

Sio kila kusifu ni uchawa!. Chawa wao kazi yako ni kusifu tuu kila kitu kwa nyimbo na mapambio, mimi nasifu pale tuu panapostahili sifa, lakini akiboronga anapigwa tuu spana za kutosha!. Chawa wa Mama hawezi kuleta bandiko lenye hoja kama HII humu!.
Mimi sio chawa!.
P
 
Nataka kujua kama mzee wa Msoga naye kaambatanishwa.
Hizo chokochoko. Hata wewe ukiwa unaenda sehemu huielewi unaweza ukamwambia jamaa yako akusindikize tena kwa garama zako. Nini tatizo?
Watanzania tunapendana
 
Anaimarisha Diplomasia ya uchumi
Hivi yeye ndo RAIS pekee anayehitajika huko?? Au wameona yeye ndo huwa na nafasi wakati wote?

Ni vizuri wenye akili wakamsaidia kuelewa, kwamba mialiko mingine Haina tija na inadhalilisha!!

Unawezaje kwenda kuwa Mwenyekiti wa tuzo Kwa mtu asiye na hadhi ya Urais?

Ila tabu kubwa inaanzia kwenu nyie CHAWA
 
Na tukibahatika kukuvua kyupi,,You're not Smart anymore!!
 
Mama kakipata, anakitumia.

Nina yakini ilikuwa ndoto yake kufanya world tour, amepata fursa ya all expenses paid trip, anajiachia tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Amealikwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…