Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Mwashambwa angeenda naye huyo jamaa angekuwa keshashusha nyuzi 500 leo hii za kumsifu bibie.Labda amemkumbuka Lucas mwashambwa kwenye huu msafara
😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwashambwa angeenda naye huyo jamaa angekuwa keshashusha nyuzi 500 leo hii za kumsifu bibie.Labda amemkumbuka Lucas mwashambwa kwenye huu msafara
Unatia aibu JF...wewe na Lucas mwashambwa lazima mtakuwa mapacha!Mkuu Shujaa Mwendazake , msitake kuleta mambo ya mwendazake hapa, atulie nyumbani kufanya nini?. Kila trip ina manufaa makubwa kwa nchi, mfano leo, Rais Samia ndie Mgeni rasmi.
Ukifanya a quick comparative analysis ya Rais Samia, kati ya kuhudhuria tukio hili na kuhudhuria UNGA, utakuta kuhudhuria tukio hili kuna carries more mileage.
Angalia hoja za umuhimu wa tukio hili. It's worth it.
P
Kwanini umeuliza hivyo mkuuAmeambatana na kina nani na nani huko?
Sasa ni nani angekosa kwenda kwenye opportunity kama hii?Yaani January mpaka March sijui kaishapiga ruti ngapi.
Nigeria nako ameenda kitafuta malisho ya wananchi ama?
Kwa nibi hatulii nyumbani hata mwezi mmoja, sasa hizo kero atatua lini kama alivyoahidi?
Gharama za misafara yake yote ina tija kwetu?
View attachment 2925657
Rais anaenda kusaidia nini zaidi ya kuzurura tu, waendee watalaamu, wawekezaji na waziri wa sekta husikaSasa ni nani angekosa kwenda kwenye opportunity kama hii?
African Development Bank imetushika MKONO sana kwenye Maendeleo -Viongozi wengi watatuonea gere but imagine huku tunalalamika ati kwanini asikae ofisini!
By the way is a day round trip!
Not a big deal!
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Anaimarisha Diplomasia ya uchumiYaani January mpaka March sijui kaishapiga ruti ngapi.
Nigeria nako ameenda kitafuta malisho ya wananchi ama?
Kwa nibi hatulii nyumbani hata mwezi mmoja, sasa hizo kero atatua lini kama alivyoahidi?
Gharama za misafara yake yote ina tija kwetu?
View attachment 2925657
Mkuu Kipepeo wa chuma, Theironbutterfly , kwasababu hatujuani umri humu, tunatukanana na kuvunjiana sana heshima humu!, unaweza kujikuta unamtukana mtu mwenye umri wa baba yako, au mama yako!. Mimi nakwenda 60!, kuniita chawa ni sawa na kunitukana!.Chawa kazini
Kweli kaenda Nigeria?
Mkuu Mag3 , heshima, kitu cha bure!. Kunifananisha mimi na hawa machawa wa humu, sio kunitendea haki!.Unatia aibu JF...wewe na Lucas mwashambwa lazima mtakuwa mapacha!
Yaani January mpaka March sijui kaishapiga ruti ngapi.
Nigeria nako ameenda kitafuta malisho ya wananchi ama?
Kwa nibi hatulii nyumbani hata mwezi mmoja, sasa hizo kero atatua lini kama alivyoahidi?
Gharama za misafara yake yote ina tija kwetu?
View attachment 2925657
Nataka kujua kama mzee wa Msoga naye kaambatanishwa.Kwanini umeuliza hivyo mkuu
Hizo chokochoko. Hata wewe ukiwa unaenda sehemu huielewi unaweza ukamwambia jamaa yako akusindikize tena kwa garama zako. Nini tatizo?Nataka kujua kama mzee wa Msoga naye kaambatanishwa.
Hivi yeye ndo RAIS pekee anayehitajika huko?? Au wameona yeye ndo huwa na nafasi wakati wote?Anaimarisha Diplomasia ya uchumi
Huyo ni lazima aende. Hana mshipa wa aibuNataka kujua kama mzee wa Msoga naye kaambatanishwa.
[emoji1787]Kaenda lini tena Nigeria?
Na tukibahatika kukuvua kyupi,,You're not Smart anymore!!Kazi ya January makambah hiyo,toka apangwe waziri wa mambo ya nje,daily anampangia ruti bi kizmkaz
Lakin Yuko sahihi,manake hata akikaa nchin Hakuna afanyalo,anaishia kuboeka tu,na kwenye mabotik na salon za kibongo hawez kwenda,so hiyo no njia moja wapo ya yeye kufanya shopping.
Mie ni mwanamke Ila siafiki aje achaguliwe raisi mwanamke ever again,manake wanapewa vilaza,wanawake smart,intelligent,wenye mission na vision,hawapewi hizo nafasi ,hata kwenye maofisi ya Umma ni ushahidi tosha.Smart women hawapewi nafasi za uongozi Tanzania,unless avuliwe kyup😢😢
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama kakipata, anakitumia.
Nina yakini ilikuwa ndoto yake kufanya world tour, amepata fursa ya all expenses paid trip, anajiachia tu.
AmealikwaHivi yeye ndo RAIS pekee anayehitajika huko?? Au wameona yeye ndo huwa na nafasi wakati wote?
Ni vizuri wenye akili wakamsaidia kuelewa, kwamba mialiko mingine Haina tija na inadhalilisha!!
Unawezaje kwenda kuwa Mwenyekiti wa tuzo Kwa mtu asiye na hadhi ya Urais?
Ila tabu kubwa inaanzia kwenu nyie CHAWA