Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

Mwacheni mama achapem kazi

Tutampa mitano tena, atake asitake.l
 
Bibi Tozo.
 
Madam President anaufungua uchumi, hii ndiyo ilikuwa ahadi yake kubwa, kufuli na funguo za uchumi ametambua zipo nje ya nchi.
 
Madam President anaufungua uchumi, hii ndiyo ilikuwa ahadi yake kubwa, kufuli na funguo za uchumi ametambua zipo nje ya nchi.
Unashindwa kujenga nchi yako unazurura hovyo kwenye nchi za watu.

Una kila rasilimali, madini, gases, mbuga, mito, wanyama, ardhi safi, bandari kila kitu.... unataka nini?

Kuomba omba tu na kuhusudu mabeberu kama mayatima!
 
Safari hii tunaye mzururaji
 
Safari za Rais Samia ni kama ifuatavo
1.Uganda
2. Kenya
3.Burundi
4. Rwanda
5. Zambia
Tutaendelea kuhesabu hapo Zanzibar Ashaenda mara nne 4.
 
Tatizo kubwa ni kwamba CCM walifanya makosa makubwa sana kupitisha majina ya watu wasiokuwa na maandalizi yoyote yale kushika uongozi wa nchi wakati wa kipindi cha awamu ya tano. Matunda yake ndiyo hasa tunayoyaona hii leo.
 
Ni afadhali atembee tu maana ukikaa kama jpm nongwa ukitembea nongwa...
 
Tatizo kubwa ni kwamba CCM walifanya makosa makubwa sana kupitisha majina ya watu wasiokuwa na maandalizi yoyote yale kushika uongozi wa nchi wakati wa kipindi cha awamu ya tano. Matunda yake ndiyo hasa tunayoyaona hii leo.
Ufipa mmeandaa mtu au ndio hao mlionao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…