Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

Eti watu wanaleta ubishi kwamba rekodi aliyoiweka JK hakuna atakayeivunja. Mi nasema Samia ataivunja mapema tu! Atasafiri mara nyingi kuliko rais mwingine aliyepita.

Ni miezi 5 imepita akiwa Ikulu na tayari nchi 5 kisha zitembelea. Ameimaliza Afrika mashariki, sasa anaelekea kusini, akimaliza huko atazipiga za kaskazini kabla hajanyoosha kuelekea Asia. Shida ni hii Corona lakini naamini baada ya kuja kwa Tony Blair, kinachofuata ni kuitembelea UK. Uwezo wake wa kusafiri ni mkubwa, rekodi ataibeba.
 
sipaoni tunapokwenda, ni kwendo wa kupapasa gizani.
 
Ndugu zangu kwa wale waliokuwepo humu kwa miaka mingi, kulikuwa na uzi uliokuwa unafuatilia safari za rais Kikwete na gharama za safari zake.

Natoa wito wa menejimenti ya JamiiForums kufuatilia ziara zote, gharama na faida tunazopata kama nchi.

Ahsanteni
Kujadili vitu ambavyo huna uwezo navyo na visivyo msaada kweti ndiyo chanzo cha umaskini wetu.

Pumbavu kabisa badala ya kujadili mambo yanayotusibu kwa ukaribu wetu unaleta ujinga hapa akisafiri sana unaumia nini au unapungukiwa nini mbweha wewe fanya yako kenge wewe
 
Bibi yule kwa kuzurura hajambo. Toka aapishwe ni mwendo wa kupishana na kunguru hewani.

Wananchi wanauliza vipi?? mbona mikoani na mashinani haendi kutizama wananchi wake wanaendeleaje?

Bibi huyu ndani ya miezi miwili tu ameshasafiri nje ya nchi zaidi ya mara ishirini. Ati anafungulia diplomasia!

Kutwa kuzurura angani na kulipisha wananchi tozo za ajabu ajabu!

Msafara mmoja unatumia zaidi ya milioni mia moja kwa masaa kadhaa tu! Jamanii hebu oneeni huruma fedha za wananchi!

Bibi Dagama hutufai! Ni heri ujiondokee hapo utupishe kusudi tupate Rais.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Bi mzururaji

Bi tozotozo!
 
Back
Top Bottom