robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Eti watu wanaleta ubishi kwamba rekodi aliyoiweka JK hakuna atakayeivunja. Mi nasema Samia ataivunja mapema tu! Atasafiri mara nyingi kuliko rais mwingine aliyepita.
Ni miezi 5 imepita akiwa Ikulu na tayari nchi 5 kisha zitembelea. Ameimaliza Afrika mashariki, sasa anaelekea kusini, akimaliza huko atazipiga za kaskazini kabla hajanyoosha kuelekea Asia. Shida ni hii Corona lakini naamini baada ya kuja kwa Tony Blair, kinachofuata ni kuitembelea UK. Uwezo wake wa kusafiri ni mkubwa, rekodi ataibeba.