Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

Siti ya mbele kabisa...
Record zinaonesha ktk miezi 14 tangu apishwe amesafiri mara 17...
Nway tumuunge mkono mama anaupiga mwingi sana mpaka una mwagika.
Twende taratibu 17/14 manake kila mwezi safari moja!?
sidhani kama hizi takwimu zipo sawa
 
1. Aprili 11, 2021 – Ziara nchini Uganda

2. Mei 04, 2021 - Ziara nchini Kenya

3. June 22 2021 - Ziara nchini Msumbiji

4. Julai 16, 2021 - Ziara nchini Burundi

5. Agosti 2, 2021 - Ziara nchini Rwanda

6. August 16 2021 - Ziara nchini Malawi

7. August 24 2021 - Ziara nchini Zambia

8. 23 Sept 2021 - Ziara inchini Marekani(Umoja wa mataifa)

9. October 30 - November 3, 2021 - Ziara nchini Scotland

10. Novemba 10, 2021 - Ziara nchini Misri

11. January 28 2022 - Ziara nchini Msumbiji

12. Februari 14, 2022 - Ziara nchini Ufaransa

13. Februari 18, 2022 - Ziara nchini Ubelgiji

14.Februari 24, 2022 - Ziara Falme za Kiarabu (UAE)

15. Aprili 19, 2022 - Ziara nchini Marekani - Royal Tour

16.Mei 10-11, 2022 - Ziara nchini Uganda

17. Mei 23-25 - Ziara Nchini Ghana

Takwimu(compiled) kwa msaada wa Google, Youtube na JF na vyanzo vingine
 
Ifahamike kuwa safari za Rais za nchi za nje hupangwa na kuratibiwa na wasaidizi wake hasa wale wanaohusika na mambo ya nje!! Mara nyingine hawa watu Rais asipowashtukia watampangia na kumshauri asafiri sana nje ya nchi, lakini lengo lao ni kwamba na WAO WATAFAIDIKA MAANA WATAAMBATANA NAYE KWENYE SAFARI HIZO!

Kwa hiyo hawa wasaidizi wakihisi kuwa bosi wao hajawashtukia, watampangia safari nyingi hata zile ambazo si za lazima au haziendani na hadhi ya Rais ili mradi tu na wao wapige "per diem" kwa kiwango cha nchi za nje!

Huu ni ubadhirifu!! Na hii inampaka matope Rais wetu!! Msafara wa Rais huhusisha watu wengi na ni gharama sana! Safari zingine za kikazi kama ni lazima wangeweza kwenda wataalamu wenye dhamana kwenye eneo husika au sana sana waziri mwenye dhamana ambao haulazimiki kuhusisha msafara wa watu wengi!! Hatukatai Rais kusafiri nje ya nchi lakini kuwe na kiasi!
 
Ifahamike kuwa safari za Rais za nchi za nje hupangwa na kuratibiwa na wasaidizi wake hasa wale wanaohusika na mambo ya nje!! Mara nyingine hawa watu Rais asipowashtukia watampangia na kumshauri asafiri sana nje ya nchi, lakini lengo lao ni kwamba na WAO WATAFAIDIKA MAANA WATAAMBATANA NAYE KWENYE SAFARI HIZO!!
Kwa hiyo hawa wasaidizi wakihisi kuwa bosi wao hajawashtukia, watampangia safari nyingi hata zile ambazo si za lazima au haziendani na hadhi ya Rais ili mradi tu na wao wapige "per diem" kwa kiwango cha nchi za nje!! Huu ni ubadhirifu!! Na hii inampaka matope Rais wetu!! Msafara wa Rais huhusisha watu wengi na ni gharama sana! Safari zingine za kikazi kama ni lazima wangeweza kwenda wataalamu wenye dhamana kwenye eneo husika au sana sana waziri mwenye dhamana ambao haulazimiki kuhusisha msafara wa watu wengi!! Hatukatai Rais kusafiri nje ya nchi lakini kuwe na kiasi!
Pale foreign na Psu kulikuwa na njaa sana kipindi cha magufuli toka mama aingie wengi wameanza kumalizia mijengo yao
 
Ni kweli.
Hizo safari ni kama mradi wa ng'ombr wa maziwa wa watu.
Kipacho cha ziada nje ya mshahara.

Kiwango hiki cha sasa kimefikia ubadhirifu wa mali ya umma na matumizi mabaya ya madaraka kwa maafisa wanashauri hizi safari.
 
Ifahamike kuwa safari za Rais za nchi za nje hupangwa na kuratibiwa na wasaidizi wake hasa wale wanaohusika na mambo ya nje!! Mara nyingine hawa watu Rais asipowashtukia watampangia na kumshauri asafiri sana nje ya nchi, lakini lengo lao ni kwamba na WAO WATAFAIDIKA MAANA WATAAMBATANA NAYE KWENYE SAFARI HIZO!!
Kwa hiyo hawa wasaidizi wakihisi kuwa bosi wao hajawashtukia, watampangia safari nyingi hata zile ambazo si za lazima au haziendani na hadhi ya Rais ili mradi tu na wao wapige "per diem" kwa kiwango cha nchi za nje!! Huu ni ubadhirifu!! Na hii inampaka matope Rais wetu!! Msafara wa Rais huhusisha watu wengi na ni gharama sana! Safari zingine za kikazi kama ni lazima wangeweza kwenda wataalamu wenye dhamana kwenye eneo husika au sana sana waziri mwenye dhamana ambao haulazimiki kuhusisha msafara wa watu wengi!! Hatukatai Rais kusafiri nje ya nchi lakini kuwe na kiasi!
Kwani wanamlazimisha kusafiri?
 
Raisi ndiye anae simamia sera yake ya nje pamoja na safari zake. Tulimlaumu Kikwete na Magufuli. Tusiwasukumie wasaidizi wake hapa. Sifa au lawama ni zake SSH.
 
Ifahamike kuwa safari za Rais za nchi za nje hupangwa na kuratibiwa na wasaidizi wake hasa wale wanaohusika na mambo ya nje!! Mara nyingine hawa watu Rais asipowashtukia watampangia na kumshauri asafiri sana nje ya nchi, lakini lengo lao ni kwamba na WAO WATAFAIDIKA MAANA WATAAMBATANA NAYE KWENYE SAFARI HIZO!

Kwa hiyo hawa wasaidizi wakihisi kuwa bosi wao hajawashtukia, watampangia safari nyingi hata zile ambazo si za lazima au haziendani na hadhi ya Rais ili mradi tu na wao wapige "per diem" kwa kiwango cha nchi za nje!

Huu ni ubadhirifu!! Na hii inampaka matope Rais wetu!! Msafara wa Rais huhusisha watu wengi na ni gharama sana! Safari zingine za kikazi kama ni lazima wangeweza kwenda wataalamu wenye dhamana kwenye eneo husika au sana sana waziri mwenye dhamana ambao haulazimiki kuhusisha msafara wa watu wengi!! Hatukatai Rais kusafiri nje ya nchi lakini kuwe na kiasi!
1. Aprili 11, 2021 – Ziara nchini Uganda

2. Mei 04, 2021 - Ziara nchini Kenya

3. June 22 2021 - Ziara nchini Msumbiji

4. Julai 16, 2021 - Ziara nchini Burundi

5. Agosti 2, 2021 - Ziara nchini Rwanda

6. August 16 2021 - Ziara nchini Malawi

7. August 24 2021 - Ziara nchini Zambia

8. 23 Sept 2021 - Ziara inchini Marekani(Umoja wa mataifa)

9. October 30 - November 3, 2021 - Ziara nchini Scotland

10. Novemba 10, 2021 - Ziara nchini Misri

11. January 28 2022 - Ziara nchini Msumbiji

12. Februari 14, 2022 - Ziara nchini Ufaransa

13. Februari 18, 2022 - Ziara nchini Ubelgiji

14.Februari 24, 2022 - Ziara Falme za Kiarabu (UAE)

15. Aprili 19, 2022 - Ziara nchini Marekani - Royal Tour

16.Mei 10-11, 2022 - Ziara nchini Uganda

17. Mei 23-25 - Ziara Nchini Ghana

Huu ni upigaji wala hakuna maelezo mengine!! Naomba wizara ya mambo ya nje waandike kitabu cha ziara za Rais na kila ziara watuambie kama ni state visit au work visit, waainishe masuala yaliyompeleka huko, gharama iliyotumika na watueleze manufaa ya kushikika yaliyotokana na ziara hiyo! Vinginevyo ni uhujumu wa uchumi! Mimi sikomai na mama bali nakomaa na wasaidizi wake wanaopanga na kuratibu hizi safari!! Tunapigwa mchana kweupe!
 
Habari za Kazi wana JamiiForums,

Katika thread hii nategemea tutaangazia ziara mbalimbali(Za nje ya nchi) za Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan na manufaa kwa taifa.

Leo tarehe 11 April 2021 Mhe Samia anafanya ziara yake ya kwanza nje ya Tanzania na ziara hii ina lengo la kusaini makubaliano ya ujenzi wa bomba la mafuta.

Tarehe 4 mei2021 Mhe Samia amezuru nchi ya Kenya na kuwahitubia wananchi wa Kenya.
Ni ziara yenye tija kwa uchumi wa Nchi. Aidha ikumbukwe mtangulizi wake Hayati Dr. John Pombe Magufuli hakuwa mpenzi wa ziara za nje ya nchi na mara nyingi alimtuma Mhe Samia Suluhu kumuwakilisha.

TUTAENDELEA KUTOA UPDATES YA ZIARA ZA NJE ZA MH RAIS SAMIA.

=====

1). Rais Samia afanya ziara yake ya kwanza nchini Uganda mnamo 11 Aprili 2021 kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa nchi mbili na kumaliza makubaliano ya mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka nchini Uganda.

2). Rais Samia afanya Ziara ya Siku Mbili Nchini Kenya, kuanzia 04 Mei 2021

3). Rais Samia tarehe 16 Julai, 2021 afanya ziara ya Kitaifa ya siku mbili nchini Burundi kwa mwaliko wa Rais Evariste Ndayishimiye.

4). Rais Samia tarehe 02 Agosti, 2021 afanya ziara ya Kiserikali ya siku mbili nchini Rwanda kwa mwaliko wa Rais wa nchi hiyo Paul Kagame.

5). Rais Samia tarehe 16 Agosti, 2021 aelekea nchini Malawi kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utakaofanyika kuanzia tarehe 17 – 18 Agosti, 2021.

6). Rais Samia Tarehe 24 Agosti, 2021 aelekea nchini Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa Kwa Rais Mteule wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema.

7). Rais Samia tarehe 18 Septemba, 2021 aondoka nchini kuelekea New York nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo tarehe 23 anatarajiwa kulihutubia Baraza hilo.

8). Rais Samia tarehe 30 Oktoba, 2021 aelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za mabadiliko ya tabianchi (COP 26).

9). Rais Samia tarehe 10 Novemba, 2021 aelekea Cairo nchini Misri kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu.

10). Rais Samia tarehe Januari 28, 2022, atembelea Msumbiji. Akiwa Pemba-Msumbiji, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu ameeleza kuwa lengo ya ziara hiyo ni kudumisha Diplomasia kati ya nchi hizo mbili.

11). Rais Samia afanya ziara ya Kikazi Nchini Ufaransa na Ubelgiji kuanzia tarehe 09-19 Februari 2022.

12). Rais Samia Februari 24, 2022 aelekea Dubai Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kushiriki maonyesho ya Expo 2020

13). Rais Samia Aprili 13, 2022 aenda Marekani kwa ziara ya kikazi. Pamoja na mambo mengine anatarajiwa kushiriki uzinduzi wa filamu ya ‘Tanzania Royal Tour’ itakayozinduliwa Aprili 18, 2022 jijini New York. Alikaa siku 8

14). Rais Samia 10 May 2022 afanya ziara ya Kiserikali nchini Uganda kwa siku mbili

15). Rais Samia 23 Mei 2022 ameondoka Nchini Kuelekea Accra, Ghana kwa ajili ya Ziara ya kikazi ya siku tatu Nchini Humo

16). Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Muscat nchini Oman kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu tarehe 12 Juni, 2022

17). Leo tarehe 06 Julai, 2022 Rais Samia aelekea Dakar Senegal kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za Afrika wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA Summit for Africa)"

18). Rais Samia 16 Agost 2022, aondoka Nchini kwenda DR Congo kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

19. Septemba 17, Rais Samia
alifika Uingereza ili kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth II yaliyopangwa kufanyika September 19. Rais Samia kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth II
Ya juzi Kenya wakati wa uapisho wa Ruto umeisahau.
 
Rais Ametuweza Yaani Hii Miaka Michache Utasikia Zinefika 100
 
Unamaanisha tuna Rais asiyeweza kusema hapana!
 
GOOD RECORD
 
Matumizi mabaya ya fedha za umma
 
Ni kweli.
Hizo safari ni kama mradi wa ng'ombr wa maziwa wa watu.
Kipacho cha ziada nje ya mshahara.

Kiwango hiki cha sasa kimefikia ubadhirifu wa mali ya umma na matumizi mabaya ya madaraka kwa maafisa wanashauri hizi safari.
Jamaa wanapiga pesa ndefu kupitia ziara zake
 
Back
Top Bottom