Safi Sana: Marekani na ujanja wake kaingizwa mkenge na Venezuela kuhusu kuuziwa mafuta

Halafu tunaoongea sasa na kuanza kumwambia US atakoma tupo madongo kuinama huku Ulimwengu wa tatu kwenye dhiki tele hata kodi ya chumba kimoja kulipa ni shida.Nasoma comment za huu uzi huku nacheka sana [emoji3][emoji3]
ha ha ha ha ha...
 
Habari yako haiko sawa na imekaa kichuki sana...
Sasa ni hivi...Marekani ina hifadhi kubwa ya mafuta kuliko nchi yoyote duniani
Mkuu wewe soma tu hii ni kama Comedy ya kina Masanja.Nchi ni Superpower kweli kweli in all aspects halafu mtu anakuja kutuletea blah blah za 'US watakoma" πŸ™‚
 
Mr
 
Aisee.. Noma sanaa

Niliiona hiyo ya Saudia kuwachunia ku pickup simu zao ila kuhusu venezuela sikujua kabisa..

No way itabidi akubali masharti ya venezuela tuu...

Walimuuwa Chavez washenzi hao
Wamewawekea vikwazo Venezuela kitambo sasa wanakula matapishi yao

Saudia ameenda Bojo kuomba MbS awape mafuta
 
Hasa hiki kizazi kilichojiunga JF kuanzaia 2015, 90% ni majanga makubwa sana.Unasoma Thread ina porojo nyingi unaamua kwenda nayo kimzaha hivyo hivyo.
 
Tunavyoongea utafikiri USA ni ka center flani hivi ambayo wanaishi watu wasiodizi 30 wenye njaa sana, jamiiforum Kuna watu kwelikweli.
Wanatopokaaa sanaaa as if Marekani storage Yake ya mafuta ni ya mwezi mmoja
 
Walimuuwa Chavez washenzi hao
Wamewawekea vikwazo Venezuela kitambo sasa wanakula matapishi yao

Saudia ameenda Bojo kuomba MbS awape mafuta
Hivi, unafahamu kuwa Canada ndo supply namba moja wa mafuta kwa Marekani kwa zaidi ya 61%? Marekani hajawahi kununua zaidi ya 3% ya mafuta kutoka Russia, hivyo gap ya mafuta atakayohitaji haizidi hiyo 3%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…