Hilo ni jibu kakaKwa hiyo kumbe USA ni chanzo Cha vurugu,vita na fujo zote duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ni jibu kakaKwa hiyo kumbe USA ni chanzo Cha vurugu,vita na fujo zote duniani
Hunakataa USA hawakwenda kumwangukia maduro??Mkuu wewe soma tu hii ni kama Comedy ya kina Masanja.Nchi ni Superpower kweli kweli in all aspects halafu mtu anakuja kutuletea blah blah za 'US watakoma" 🙂
Tatizo mnaongea utadhani mko kwa vijiwe vya kahawa.Hunakataa USA hawakwenda kumwangukia maduro??
Lakini pale Ikulu ya Magogoni au Chamwino hata kutia pua tu hatujawahi,ila HW,Kremlini na Ikulu zingine huwa tunavinjari kama tuko mitaa ya K.Koo tu😅Ila bongo utazipata. Maana sisi tupo karibu na Ikulu zote duniani.
JF ina wataalamu wanaweza kuigeuza Tanzania ikawa Super power Country ikaipiku US kwa mbali sana Mkuu🙂
Wana siri hadi za WH zile za ndani kabisa,lakini za pale Mgogoni hawana.Watanzania wana siri za mataifa mengi sana duniani. Ila hawana siri za kujua ni namna gani watazitumia rasilimali walizonazo kujikwamua kiuchumi na kupunguza utegemezi.
Mkuu,hapa ndiyo nimejua hatuna tulijualo kuhusu siasa za huu Ulimwengu zinavyokwenda.Na kwa mtaji huu acha US Aaendelee kuutawala Ulimwengu apendavyo huku sisi akitupa technologia yake ya Internet ,Youtube na Google ili tuendelee kupiga soga za vijiweni.Wewe unafahamu chanzo cha huo ufalme wa Saudia au unajiongelesha tu hapo.
ulimaanisha 'unakataa"?🙂Hunakataa USA hawakwenda kumwangukia maduro??
😳Hata Quatar kagoma pia kupokea simu
😂😂Sema hizi habari huwezi kuzkuta BBC news[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi, unafahamu kuwa Canada ndo supply namba moja wa mafuta kwa Marekani kwa zaidi ya 61%? Marekani hajawahi kununua zaidi ya 3% ya mafuta kutoka Russia, hivyo gap ya mafuta atakayohitaji haizidi hiyo 3%.
Siku ya kufa Nyani🤣🤣🤣🤣Yaani nilpoona kuwa USA inaelekea kupata tabu na kutapa tapa , ni baada ya kusikia mshirika wake saudia eti nae anamvimbia !!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
What a flop!!!!!
Nimeipenda Sana hii. Duh hatari lakini salama.
Hivi kwanini pesa za Serikali Africa zinakaa America na Ulaya?Unajua mtego wa Rais Maduro katika upana wake uko hivi :
1. Wakiamua kumtambua kuwa ndiye Rais halali tangu uchaguzi mkuu uliopita maana yake ni kuwa pesa zote za Venezuela zilizotokana na mauzo ya mafuta yake huko Marekani, zilizokuwa kwenye akaunti ya Marekani (mabilioni ya Dola) ambazo Marekani wakiamua kumpatia Guaido ambaye ndiye wanayemtambua, hayo maamuzi ni batili na itabidi wazirudishe zote!! Hilo Marekani hawezi! Pia Uingereza iliamua kutaifisha Tani kadhaa za dhahabu zenye thamani ya mabilioni ya paundi.
2. Wakimtambua Maduro maana yake wamtose rasmi kipenzi wao Guaido!! Unajua kuwa Akaunti ya nje ya Venezuela anaimiliki Guaido, na wanamtumia kuipora Venezuela, na hawana namna ya kurudisha Ile waliyopora Hadi Sasa! Na wanampango wa kuendelea kuipora!! Kwa mujibu wa Marekani na washirika wake Serikali rasmi ya Venezuela inaendeshwa na "Rais Guaido" na Ina makao yake uhamishoni Marekani. Kuna Baraza la mawaziri na mabalozi Nchi za nje. Wote wanapata mishahara kutoka Akaunti ya Venezuela iliyoshikiliwa huko Marekani, Uingereza nk. Huu uovu kuukiri Marekani hawezi!!
Ikitokea US anataka kuiondoa serikali ya Saudi Arabia halazimiki kuivamia. Anawapa silaha Washia wa Houthi pale Yemen wanavuka mpaka wanaingia Saudi kuleta usumbufu. Eti waislamu watapigana, Saddam Hussein alipoivamia Kuwait na kuelekea kuivamia Saudi Arabia mbona Saudi iliwaita Wamarekani kwani haikuwa inajua kuna waumini duniani.Wajaribu waone hiyo vita itakua kati ya USA vs Waislam wote duniani hatar sana wasije tuletea vita ya kidini hawa. People wapo radhi wapigane wafe ule mji ubaki na wanalijua hilo.