Safi sana Rais Kagame; kama kawaida yako Umenusa 'Tego' la 'Geneva ya Afrika' na 'Ukachomoa' kwenda, hivyo imekula kwao

Kweny hii nyuzi WaTanzania wameonesha jinsi gani wanapenda nchini Yao na hawataki mchezo Rwanda aendelee kumiliki tu vikundi vya ugaidi ila kupigana vita ni Risk kubwa sana kwao uwezakano wa Vita vya kikabila nchini kwao kurudi ni rahisi sana
 
Cocroch ilikuwa tusi kubwa sana kipindi cha genocide. Hapo umemtukana sana proKagame yyte yaani leo wanaweza wasile kwa hasira manake watakumbuka yale machete ya 1994 hahaaaaaa
 
Na ninawatieni Ndimu ( Nawapanikisha ili Mkasirike ) kwa Makusudi ili mkasirike na muanze Kujitapa kwa kusema Intelligence and Defence Strong Points zenu ili mnirahisishie Jukumu Kuu nililokabidhiwa na Kuaminiwa nalo la Taifa la Rwanda.
Nilijua uzi wa maana kumbe Kuna utoto ndani yake
 
Kagame atakuwa mpumbavu kupigana na Tanzania hasa wakati huu. Ka nchi kagodo kama ka Rwanda hakawezi kupigana na nchi kubwa kama Tzanania.
Tukitaka kupigana na Rwanada tunaanzia ktk uchumi, mafuta, potential items zote zinaingia ktk utata kutoka Dsm Port for six months. Baada ya hapo ni kuomba msaada Congo, Burundi na waasi na maadui wa Kagame front lines halafu Tanzania decorated commanders wanaimaliza hiyo vita yaani ndani ya siku tatu vikosi vinakutana Kigali wakati Kagame atakuwa ashakimbilia Uganda.

Au tunaacha yote haya tunapiga stoges wake wa M23 pale kongo kumpa meseji akikaza shingo Kigali inakuwa kama Mariopol
 
Poleni kwa Kumkosa. Mtegeni wa Burundi yule Zuzu mnayemmudu na kumfanya mtakavyo, ila siyo kwa 'Genius' wa Rwanda sawa?
Kwahiyo kwenu huyo Paulo kwenu ndo genius?Tanzania tunauwezo wa kunywa chai Asubuhi na mapema kwenye ikulu yenu.
 
Huyo jamaa akuwahi hata kufika chalinze,alifinywa hapa hapa,kupunguza maswali ya familia yake ikawa amekimbilia rwanda,hiyo familia yake mpaka leo hata huko rwanda haijui pakumpata
 
Nikitafakali kwa kina Sana nakubaliana na kagame,ni heri Mali ya DRC na yy afaidi ,kuliko wafaidi wazungu ambao sio bara lao na sio wa Africa,wao DRC wameshindwa kuzilinda zisipolwe na wazungu ,wanahangaika na ndg Yao kagame!!
Mkuu hao wazungu ndy wamemplant PK afanye yote DRC
 

Punguza mikwara mkuu!! Unajikuta nani? Unamuiga putin? Rwanda bado nikasehemu kadogo
 
Acha kuisifia Rwanda Kagame hajajenga mfumo jumishi na kaminya denokrasia.Hapo ana muda mfupi asipoachia madaraka na Rwanda itapoteana tena kumbuka akina Nyamwasa walipo na makundi mengi ya nje, siku uakiungwa mkono Kwisha habari yenu.
 
Hivi kwenye hizi nchi za maziwa makuu Allies wa Rwanda ni nani?
Uganda pekee ndie alikua na mafungamano na PK, ila baada ya kutibuana na Mu7 wameingia kwenye uadui mkubwa ilibakia kidogo tu waanze kutwangana.
Kanchi kenyewe kadogo badala ya kuimarisha urafiki na majirani wanaokuzunguka ili uishi kwa amani wewe ndio kwanza unazidisha chokochoko na kila jirani uliepakana nae.
Burundi, Congo, Uganda, TZ yaani hapo umebakiza kumchokonoa Mkenya tu ili ukamilishe hesabu. Hata huyo Mkenya mwenyewe mngekua mna share nae mipaka mngekua tayari mshagombana.
 
Nimegundua kuwa licha ya kuwa ni Fool naturally lakini pia hauko up to date na Current News.

Taarifa ikufikie kwamba Uhusiano wa Ndugu hawa Rwanda na Uganda umerejea na sasa umekuwa ni wa Upendo zaidi.

Miezi Mitano iliyopita Mtoto wa Rais Museveni ( ambaye mwaka 2014 GENTAMYCINE ) nilifanya nae Ziara Maalum ya Kumtembeza Upanga jirani na Hospitali ya Muhimbili alipozaliwa, nikampeleka UDSM alikosoma Baba yake Mzazi ( Rais Museveni ) na tukamalizia Nyumba ya Ukumbusho ya Mwalimu Nyerere pale Magomeni aitwae Muhoozi Kainerugaba ( Rais ajaye wa Uganda 2026 ) alienda nchini Rwanda kwa Ziara Maalum ya Kuonana na Mjomba wake Rais Kagame na Kumaliza tofauti zao zote na Rais Kagame akaenda katika Birthday ya Muhoozi nchini Uganda na baadae kuonana na Rais Museveni na Kusameheana yote.

Hivi majuzi tu Rais Museveni nae alienda nchini Rwanda na kupata Mapokezi makubwa ikiwa ni Kiashirio cha kurejesha Udugu wao na wakaamuru pia Mipaka yao iliyokuwa imefungwa kwa zaidi ya miaka Mitano ifunguliwe na Shughuli za Kibiashara na Safari baina yao ziendelee.

Na Mshirika ( Allie ) mwingine mkubwa wa Rwanda na Rais Kagame nje ya Uganda na Rais Museveni ni Kenya na usichokijua tu ni kwamba Wakenya Wanawadharau mno Watanzania ila wanawapenda sana Wanyarwanda kwakuwa wamegundua kuwa Wanafanana nao ideologically tofauti na kwa Watanzania wenye Uvivu, Majungu, Ushamba na Uswahili mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…