Safi sana Rais Kagame; kama kawaida yako Umenusa 'Tego' la 'Geneva ya Afrika' na 'Ukachomoa' kwenda, hivyo imekula kwao

Wanadhani hukugundua mpango wao na Rafiki yao unayempelekea Moto Kwake kuwa asije ili uje Wewe na wamsaidie kwa kutumia Mbinu ya Mrusi kisha yakukute huko huko Geneva ya Afrika au ukirejea Kwako Kigali.

Wamesahau kuwa Wewe ni zao tukuka la Marekani na Israel (Kiujasusi/ Kinjagu) na kwamba una Mtambo wa Mawasiliano hata wa kujua Van Dame na Rambo wao anafanya nini au yule Mwingine Mstaafu anakunywa Saa ngapi Dawa zake za Tezi Dume.

Yaani wamesahau kuwa hata huko Kwao (tena hadi Jikoni Kwao kabisa) una Watu wako very Loyal, Patriotic and Committed ambao 24/7 wanakupa Classified Information ya nini Wanachokilenga Kwako.

Ndiyo maana nakupenda sana Rais wangu Paul Kagame. Haya wahangaike sasa na Premier uliyemtuma Kukuwakilisha huku ukiendelea kumpelekea tu Moto huyo Mkata Viuno Afrika hadi 75% ya nchi yake na Rasilimali zake ziwe part and parcel za Republic of Rwanda.
NAKUAMBIA KWA HERUFI KUBWA KUWA HUYO MBWA KAGAME HASIJE AKAJARIBU KUIGUSA HII ARDHI YA MWALIMU HAKIKA TUTAMTAPISHA MOYO. SHENZI MKUBWA HUYO😡
 
Mmeshachelewa kwani wapo ( tupo ) huko Kwenu ( tena maeneo very Strategic and Sensitive ) kabla na hata baada ya 1994 Rwanda Genocide.

Udhaifu wenu wa Akili unatusaidia Kujipenyeza Kiurahisi na kuyajua mengi na pia Kujipanga vyema jinsi ya Kujilinda nanyi na Kuwakabili kama mkilianzisha nasi.

Na Nawaonya msije mkathubutu kwani hamtoamini pamoja na Udogo wetu wa Kijiografia na msisahau kuwa Rwanda ndiyo Israel ya East Africa Community.

Nimemaliza.
Israel ya nyoko jarbuni kujichanganya muone tutakavyowafumua
 
Wanadhani hukugundua mpango wao na Rafiki yao unayempelekea Moto Kwake kuwa asije ili uje Wewe na wamsaidie kwa kutumia Mbinu ya Mrusi kisha yakukute huko huko Geneva ya Afrika au ukirejea Kwako Kigali.

Wamesahau kuwa Wewe ni zao tukuka la Marekani na Israel (Kiujasusi/ Kinjagu) na kwamba una Mtambo wa Mawasiliano hata wa kujua Van Dame na Rambo wao anafanya nini au yule Mwingine Mstaafu anakunywa Saa ngapi Dawa zake za Tezi Dume.

Yaani wamesahau kuwa hata huko Kwao (tena hadi Jikoni Kwao kabisa) una Watu wako very Loyal, Patriotic and Committed ambao 24/7 wanakupa Classified Information ya nini Wanachokilenga Kwako.

Ndiyo maana nakupenda sana Rais wangu Paul Kagame. Haya wahangaike sasa na Premier uliyemtuma Kukuwakilisha huku ukiendelea kumpelekea tu Moto huyo Mkata Viuno Afrika hadi 75% ya nchi yake na Rasilimali zake ziwe part and parcel za Republic of Rwanda.
Naunga mkono kwa asimilia 101, Kagame ni namba ingine.

Ni pale alipotonywa kwamba atulie kwanza mpaka vumbi lituame ndipo atume salamu za pole, na kwamba nyuma ya lile tukio kulikuwa na tukio jingine "on standby" ndipo nilipoamini kuwa vijana wa Kigali ni kweli wapo hadi ndani kabisa huko kwenye makabati ya jikoni.

Hii ya kwamba vijana wa Kigali tunao hadi makabatini naiamini kabisa kwasababu kuna jamaa zangu wengi tu nilisoma nao ndanindani huko miaka hiyoooo na leo hii ni maofisa wakubwa wa ngazi za juu huko Kigali na wanalonga kiswahili chenye ufasaha.

NIlipogundua hii nilijiuliza masuali mengi lakini nikapata majibu hapohapo.

NIliwahi kusema huko nyuma kuwa PK na Mzee Kaguta ni watoto kabisa wa hayati mwalimu (kikazi) na tusiwachukulie poa.

Na hadi leo wanafahamu kila kitu kuhusu matukio yote nyeti yalokwishatokea.

Naomba niishie hapa.
 
Kwahiyo TISS imefeli kwenye jaribio hilo!? Basi wataendelea kujipanga na kuwatoa ma mole wote waliopo ndani kabisa ya system
Nalog off Z
Tanzania kwenye ukanda huu wa maziwa makuu ni kama baba mlezi ambae kuna baadhi ya watoto aliwalea kwa kuwadekeza.

Ila, Tanzania tuna mitambo ambayo inaangazia eneo lote la maziwa makuu.

Hilo halina ubishi.
 
Kumchapa Rwanda rahisi sana

Unachapa NYUMA,mbele,kulia na kushoto.[emoji2]
Huo muda tunautoa wapi sisi? Pale ukiwapa silaha wahutu kadhaa tu, kazi imeisha. Ka nchi hakana hata umoja unapigana nako ili iweje?
Kale tunawaachia Kigoma wapambane nako!

Na ndugu zangu Waha walivyo wabishi, ni siku mbili tu watakua kigali wanapiga selfie, wakati huku TZ tunaendelea na shughuli nyingine za ujenzi wa taifa!
 
Tanzania kwenye ukanda huu wa maziwa makuu ni kama baba mlezi ambae kuna baadhi ya watoto aliwalea kwa kuwadekeza.

Ila, Tanzania tuna mitambo ambayo inaangazia eneo lote la maziwa makuu.

Hilo halina ubishi.
Inabidi kama ni kweli,tufanye laivulaivu... tuzipige hata na hiyo Rwanda,ili wale ambao tunasoma historia ya vita ya Uganda,tushuhudie na tueleze wasioamini kua jeshi letu ni hatari.
 
Kwa tunosoma alama za nyakati, vita kwa Tanzania kwa sasa hatuhitaji, bali diplomasia na maelewano.
 
Tanzania kwenye ukanda huu wa maziwa makuu ni kama baba mlezi ambae kuna baadhi ya watoto aliwalea kwa kuwadekeza.

Ila, Tanzania tuna mitambo ambayo inaangazia eneo lote la maziwa makuu.

Hilo halina ubishi.
Hawa waliodekezwa sasa wamekuwa majeuri,itabidi tuwachape bakora ili akili ziwakae sawa
Nalog off Z
 
Huo muda tunautoa wapi sisi? Pale ukiwapa silaha wahutu kadhaa tu, kazi imeisha. Ka nchi hakana hata umoja unapigana nako ili iweje?
Kale tunawaachia Kigoma wapambane nako!

Na ndugu zangu Waha walivyo wabishi, ni siku mbili tu watakua kigali wanapiga selfie, wakati huku TZ tunaendelea na shughuli nyingine za ujenzi wa taifa!
Wahutu mia inafaa kwa kuanzia huku wengine wakipasha moto misuli
Nalog off Z
 
UPUMBAVU NI KUSHABIKIA WATU WA NJE WASIOKUJUA...
UPUMBAVU NI KUTOKUBALI KUWA EAST AND CENTRAL YA BARA HILI LINA WATU MASHUHURI NA WENYE WELEDI ULIOTUKUKA NAO NI WATU WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. KIJANA ELEWA SISI NDIO WAPOKEZI WA WAKIMBIZI WOTE UNAOWAJUA WEWE BAADA YA KUKOSA MAHALI PA KUISHI NCHINI MWAO.
 
Wanadhani hukugundua mpango wao na Rafiki yao unayempelekea Moto Kwake kuwa asije ili uje Wewe na wamsaidie kwa kutumia Mbinu ya Mrusi kisha yakukute huko huko Geneva ya Afrika au ukirejea Kwako Kigali.

Wamesahau kuwa Wewe ni zao tukuka la Marekani na Israel (Kiujasusi/ Kinjagu) na kwamba una Mtambo wa Mawasiliano hata wa kujua Van Dame na Rambo wao anafanya nini au yule Mwingine Mstaafu anakunywa Saa ngapi Dawa zake za Tezi Dume.

Yaani wamesahau kuwa hata huko Kwao (tena hadi Jikoni Kwao kabisa) una Watu wako very Loyal, Patriotic and Committed ambao 24/7 wanakupa Classified Information ya nini Wanachokilenga Kwako.

Ndiyo maana nakupenda sana Rais wangu Paul Kagame. Haya wahangaike sasa na Premier uliyemtuma Kukuwakilisha huku ukiendelea kumpelekea tu Moto huyo Mkata Viuno Afrika hadi 75% ya nchi yake na Rasilimali zake ziwe part and parcel za Republic of Rwanda.
Du, uzi wako unafikirisha sana
 
Back
Top Bottom