GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Klabu ya Simba SC ( kupitia Msemaji wake ) imesema kuwa kwa Klabu yoyote ambayo inamtaka Kibu Denis basi Dau la Kumsajili ni Dola za Kimarekani Bilioni Moja tu.
Si mnajifanya Wajanja kwa kutaka aende Norway kwa muda kisha Dirisha dogo arejee Kwenu Mafurikoni sasa Price Tag yake ni Dola hizo za Kimarekani Bilioni Moja.
Uzeni Magodoro yenu na Juice zenu Uchwara muipate hiyo Hela kisha mje Kumsajili. Mmeshashtukiwa na wenye Akili kuwazidi kuwa Jeuri hii yote mko nyuma yake.
Kudadadeki......Ubaya Ubwela tu.