TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Kibu ameyatimbahakuna alichoambiwa.zaidi anatakiwa arudi kambini.kwani timu gani inayomtaka kibu?
Kumbuka kibu ameingia mkataba na simba miaka 2.
nilisema kibu LAZMA ATARUDI SIMBA kama sio kucheza basi atarudi kuomba KUONDOKA.alikuwa anajitekenya mwenyewe tu.dunia ya sasa hauwezi kuhama timu kienyeji.