Safi sana Uongozi wa Simba SC kwa 'Kumkomoa' hivi Kibu Denis

Safi sana Uongozi wa Simba SC kwa 'Kumkomoa' hivi Kibu Denis

hakuna alichoambiwa.zaidi anatakiwa arudi kambini.kwani timu gani inayomtaka kibu?
Kumbuka kibu ameingia mkataba na simba miaka 2.
nilisema kibu LAZMA ATARUDI SIMBA kama sio kucheza basi atarudi kuomba KUONDOKA.alikuwa anajitekenya mwenyewe tu.dunia ya sasa hauwezi kuhama timu kienyeji.
Kibu ameyatimba
 
Hujui hiyo adhabu ni mbaya sana, mchezaji kukaa nje muda mrefu kunamuharibu kisaikolojia na match fitness anapoteza, hii itasababisha kushusha kiwango chake na mwishowe thamani yake sokoni itashuka pia, usijekushangaa hao waliomdanganya sasa hivi wakamkimbia baadae.
Nyuma mwiko wana roho mbaya sana.
 
Mbona laana kama zote,mwombeeni baraka nanyi mbarikiwe.Mkimlaani nanyi mtalaaniwa.
Hakuna aliyempa laana ila huyo dogo ana ufala tena nilishangaaa alivyotoa shombo kwa yule meneja ambaye alihojiwa na wasafi,pale ndo nikaona upuuzi wake.
 
Hakuna aliyempa laana ila huyo dogo ana ufala tena nilishangaaa alivyotoa shombo kwa yule meneja ambaye alihojiwa na wasafi,pale ndo nikaona upuuzi wake.
Yule mrundi ni mshamba sana sijui hata kama amesoma hata darasa moja, huwezi kudanganywa kijinga vile na ukajaa, umesaini mkata mpya hata hujaanza kuutumikia unafikiri kutoroka kwenda kucheza nje , ni akili matope kabisa huyu, ngoja dunia imfunze. Alikuwa na uwezo wa kukataa kabisa kuongeza mkataba Simba na mambo yake yangenyooka lakini karamu mbili zilimshinda fisi.
 
Nitakachosikitika unaweza kukuta kuna stori ya uongo ikaandaliwa na viongozi ili kumsafisha KIBU na akarudi kucheza, pale tuna viongozi wa hovyo kuliko hovyo yenyewe ndo maana hata Chama aliisumbua sana club au makocha katikati ya msimu ataacha timu halafu utaambiwa kaenda kusoma kozi fupi🚮
 
Back
Top Bottom