mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Unajua kosa alilolifanya kibu?Nyie si mnasema hamkomoagi wachezaji na kipindi kile cha Fei mlituambia mchezaji kama hana furaha aachwe, kumbe na nyie mnakomoa wachezaji.
Ila za ndani Manula anataka kwenda Azam kwa Mkopo na Azam wamesha waandikia barua na ndio maana kakataa kusafiri na timu.
Kwani mchezaji akitaka kununuliwa utaratibu ukoje?nimeamini manara alisema kweli.