Hivi unajua kuwa Kisaikolojia Mchezaji kukaa Benchi ni Mateso makubwa na anaathirika sana? Ulivyo Juha unashangaa Mchezaji kuwekwa Benchi kwa Makusudi kama Kumkomoa na ukisema kuwa anakula Mshahara wa bure na hapo hapo hujui kuwa hata Kipa wako Msaliti, Duka na Aliyetuumiza katika zile 5 kwa 1 Aishi Manula nae anapitia Adhabu hii hii ya Kisaikolojia japo Mshahara wake anapewa kama kawaida.
Mtafute sasa kisha muangalie hata akiwa anaongea utagundua kuwa Aishi Manula hayuko sawa tena Kisaikolojia na akihojiwa anazuga kuwa bado yuko Majeruhi wakati ukweli ni kwamba Kapigwa Pini ya maana Kumkomoa.
Kudadadeki......Ubaya Ubwela.