Safi sana Uongozi wa Simba SC kwa 'Kumkomoa' hivi Kibu Denis

Klabu ya Simba SC ( kupitia Msemaji wake ) imesema kuwa kwa Klabu yoyote ambayo inamtaka Kibu Denis basi Dau la Kumsajili ni Dola za Kimarekani Bilioni Moja tu.

Si mnajifanya Wajanja kwa kutaka aende Norway kwa muda kisha Dirisha dogo arejee Kwenu Mafurikoni sasa Price Tag yake ni Dola hizo za Kimarekani Bilioni Moja.

Uzeni Magodoro yenu na Juice zenu Uchwara muipate hiyo Hela kisha mje Kumsajili. Mmeshashtukiwa na wenye Akili kuwazidi kuwa Jeuri hii yote mko nyuma yake.

Kudadadeki......Ubaya Ubwela tu.
Hiyo pesa ukii convert kwa hela ya kibongo ni 2.5 trillion ni ukweli Kaka ???
 
Atakula mshahara wa bure ila mkataba ukiisha sio kibu yule tena,hasara itakua kubwa kwake kuliko kwa simba.
Do you really expect that 'authentic nincompoop' to Understand you?
 
Klabu ya Simba SC ( kupitia Msemaji wake ) imesema kuwa kwa Klabu yoyote ambayo inamtaka Kibu Denis basi Dau la Kumsajili ni Dola za Kimarekani Bilioni Moja tu.

Si mnajifanya Wajanja kwa kutaka aende Norway kwa muda kisha Dirisha dogo arejee Kwenu Mafurikoni sasa Price Tag yake ni Dola hizo za Kimarekani Bilioni Moja.

Uzeni Magodoro yenu na Juice zenu Uchwara muipate hiyo Hela kisha mje Kumsajili. Mmeshashtukiwa na wenye Akili kuwazidi kuwa Jeuri hii yote mko nyuma yake.

Kudadadeki......Ubaya Ubwela tu.
Kabla hapaja kucha lazima mtoane ngeu.
 
Do you really expect that 'authentic nincompoop' to Understand you?
Anafikiri simba itapata hasara ,,simba ipo toka 1930s na pengine itakuepo hadi mwisho wa dunia ila Kibu hawezi cheza mpira hata kwa miaka 20. Ili apate tena hela kama hii au zaidi ambayo kaipata sasa, ni kwasababu alikua anacheza na Simba ilimuamini. Ndo maana wachezaji wenye akili akipigwa benchi anaomba kuhama kwasababu anajua asiponekana ataua kiwango ,carier yake na mwisho atakosa hata ile pesa ndogo aliyokua anapata.
 
Kwa Bangi / Bange nyingi anazovuta kama asemavyo Mdogo wake wa Damu aishie Kawe nyuma ya Hoteli Kongwe ya Maifea ya Marehemu Mzee Shayo unategemea kweli kabisa huyu Juha awe na Uwezo huu mkubwa wa Akili ya ama Kukuelewa au Kuyajua haya yenye Athari kubwa Kwake na kwa Kiwango chake?
 
Aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Luc Eymael Raia wa Ubelgiji alisema ( ipo YouTube ) kuwa wana Yanga SC wote ni Mbwa, Sokwe na Nyani.
Hayo ni kwa mujibu wa hasira,chuki zenu na wivu wenu kwa wananchi.
 
Klabu ya Simba SC ( kupitia Msemaji wake ) imesema kuwa kwa Klabu yoyote ambayo inamtaka Kibu Denis basi Dau la Kumsajili ni Dola za Kimarekani Bilioni Moja tu.

Si mnajifanya Wajanja kwa kutaka aende Norway kwa muda kisha Dirisha dogo arejee Kwenu Mafurikoni sasa Price Tag yake ni Dola hizo za Kimarekani Bilioni Moja.

Uzeni Magodoro yenu na Juice zenu Uchwara muipate hiyo Hela kisha mje Kumsajili. Mmeshashtukiwa na wenye Akili kuwazidi kuwa Jeuri hii yote mko nyuma yake.

Kudadadeki......Ubaya Ubwela tu.
Mkuu unaielewa vizuri dola bilioni moja au ume quote vibaya?
 
Wewe hizo Akili zako za Kupiga Mluzi / Kubinua Mchanga ndiyo unaona ni Akili za Kujivunia?
Sisi ndio wanaume angalau tunaweza kukustiri maana umeshakuwa mshangazi, alafu usivyo na akili eti unatutana, khaa
 
Kwa hiyo Kibu Denis anarejea Simba kuja kucheza au kukaa benchi huku akila mshahara wa bure?

Aliyetuloga wanasimba huenda naye kalogwa.
Kwani kuna wachezaji wangapi wanakaa benchi na wanalipwa?KIBU NANI?
AKAE BENCH. Atie adabu.
Huyo kibu ni mshamba mmoja.dunia ya sasa hauwezi kuhama timu kiholela bila club yako ya zamani kujua.
 
Klabu ya Simba SC ( kupitia Msemaji wake ) imesema kuwa kwa Klabu yoyote ambayo inamtaka Kibu Denis basi Dau la Kumsajili ni Dola za Kimarekani Bilioni Moja tu.

Si mnajifanya Wajanja kwa kutaka aende Norway kwa muda kisha Dirisha dogo arejee Kwenu Mafurikoni sasa Price Tag yake ni Dola hizo za Kimarekani Bilioni Moja.

Uzeni Magodoro yenu na Juice zenu Uchwara muipate hiyo Hela kisha mje Kumsajili. Mmeshashtukiwa na wenye Akili kuwazidi kuwa Jeuri hii yote mko nyuma yake.

Kudadadeki......Ubaya Ubwela tu.
... Can I Dare To Talk Openly?
 
Back
Top Bottom