GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Rage alisema wengi wenu ni mbumbuu😂Kwa hiyo Kibu Denis anarejea Simba kuja kucheza au kukaa benchi huku akila mshahara wa bure?
Aliyetuloga wanasimba huenda naye kalogwa.
Hivi unajua kuwa Kisaikolojia Mchezaji kukaa Benchi ni Mateso makubwa na anaathirika sana? Ulivyo Juha unashangaa Mchezaji kuwekwa Benchi kwa Makusudi kama Kumkomoa na ukisema kuwa anakula Mshahara wa bure na hapo hapo hujui kuwa hata Kipa wako Msaliti, Duka na Aliyetuumiza katika zile 5 kwa 1 Aishi Manula nae anapitia Adhabu hii hii ya Kisaikolojia japo Mshahara wake anapewa kama kawaida.Kwa hiyo Kibu Denis anarejea Simba kuja kucheza au kukaa benchi huku akila mshahara wa bure?
Aliyetuloga wanasimba huenda naye kalogwa.
Aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Luc Eymael Raia wa Ubelgiji alisema ( ipo YouTube ) kuwa wana Yanga SC wote ni Mbwa, Sokwe na Nyani.Rage alisema wengi wenu ni mbumbuu😂
Sikutegemea ndani ya simba yangu kuna watu wenye akili smart za kuwaza kwa kina kama huyu mdau. Nakuahidi hutajibiwa na jibu smart zaidi ya kejeli, heshima kwako RageKwa hiyo Kibu Denis anarejea Simba kuja kucheza au kukaa benchi huku akila mshahara wa bure?
Aliyetuloga wanasimba huenda naye kalogwa.
Atajijua mwenyewe na hao wajinga waliomuingiza Changa la macho.Kwa hiyo Kibu Denis anarejea Simba kuja kucheza au kukaa benchi huku akila mshahara wa bure?
Aliyetuloga wanasimba huenda naye kalogwa.
aliyekuroga wewe ungesema, maana haittaji elimu ya form four kuonesha ni jinsi gani umerogwaKwa hiyo Kibu Denis anarejea Simba kuja kucheza au kukaa benchi huku akila mshahara wa bure?
Aliyetuloga wanasimba huenda naye kalogwa.
Ubaya Ubwela ndiyo mpango mzima kwa majuha kama Kibu.Hivi unajua kuwa Kisaikolojia Mchezaji kukaa Benchi ni Mateso makubwa na anaathirika sana? Ulivyo Juha unashangaa Mchezaji kuwekwa Benchi kwa Makusudi kama Kumkomoa na ...
Yanga mwenzangu umehamia kwa hao mikia lini?Kwa hiyo Kibu Denis anarejea Simba kuja kucheza au kukaa benchi huku akila mshahara wa bure?
Aliyetuloga wanasimba huenda naye kalogwa.
Aliyeuza cheni bandia kalipwa hela fekiKIBU tapeli
Wanaweza kuwa wanakosea kufanya hivo kwa namna ya kumlipa pesa pasi na namna ya kumtumia. Ila katika kitengeneza mazingira ya uwepo wa nidhani ndaani ya timu inawezakuwa njia nzuri.Kwa hiyo Kibu Denis anarejea Simba kuja kucheza au kukaa benchi huku akila mshahara wa bure?
Aliyetuloga wanasimba huenda naye kalogwa.
Akili au uelewa mdogo wa mpira ? Hakuna mchezaji anapenda kukaa sababu ni kuua kipaji hapo ukimaliza mkataba hakuna kitu .Sikutegemea ndani ya simba yangu kuna watu wenye akili smart za kuwaza kwa kina kama huyu mdau. Nakuahidi hutajibiwa na jibu smart zaidi ya kejeli, heshima kwako Rage
Baada ya Simba SC kuwaambieni leteni Dola za Kimarekani Bilioni Moja ndiyo mumchukue na kwakuwa hamna kwani hata Magodoro yenu yenye Kunguni sasa hayauziki tena ndiyo mnazuga kwa Kumchana kuwa hafai na Kwenu akija hana Namba?Kibu pale yanga anacheza wapi sasa? Kwa mpira wa juzi na kaizer, naona hata chama na pacome Wana kazi ya kuitafuta namba