Safi sana Uongozi wa Simba SC kwa 'Kumkomoa' hivi Kibu Denis

Kibu ameyatimba
 
Nyuma mwiko wana roho mbaya sana.
 
Mbona laana kama zote,mwombeeni baraka nanyi mbarikiwe.Mkimlaani nanyi mtalaaniwa.
Hakuna aliyempa laana ila huyo dogo ana ufala tena nilishangaaa alivyotoa shombo kwa yule meneja ambaye alihojiwa na wasafi,pale ndo nikaona upuuzi wake.
 
Hakuna aliyempa laana ila huyo dogo ana ufala tena nilishangaaa alivyotoa shombo kwa yule meneja ambaye alihojiwa na wasafi,pale ndo nikaona upuuzi wake.
Yule mrundi ni mshamba sana sijui hata kama amesoma hata darasa moja, huwezi kudanganywa kijinga vile na ukajaa, umesaini mkata mpya hata hujaanza kuutumikia unafikiri kutoroka kwenda kucheza nje , ni akili matope kabisa huyu, ngoja dunia imfunze. Alikuwa na uwezo wa kukataa kabisa kuongeza mkataba Simba na mambo yake yangenyooka lakini karamu mbili zilimshinda fisi.
 
Nitakachosikitika unaweza kukuta kuna stori ya uongo ikaandaliwa na viongozi ili kumsafisha KIBU na akarudi kucheza, pale tuna viongozi wa hovyo kuliko hovyo yenyewe ndo maana hata Chama aliisumbua sana club au makocha katikati ya msimu ataacha timu halafu utaambiwa kaenda kusoma kozi fupi🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…