Safina radio Arusha, tamaa ya pesa itawamaliza hakika

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
29,020
Reaction score
40,848
Habarini Wadau,

Kwanza napenda kuweka wazi kuwa mimi ni Mkristo, nawaheshimu sana watumishi wa kweli wa Mungu (Mapadri, masista, Wachungaji, maparish workers, wainjilist, waalimu na Maaskofu)

Ila siwezi kuwaheshimu waganga njaa wenye tamaa za pesa, na wabwabwajaji wajifanyao eti watumishi wa Mungu.

Nilishazungumza kuhusu hawa watumishi wa Safina Radio ya Arusha kuwa ni wapenda pesa kuliko kutibu roho za watu.

Leo asubuhi nimemsikia Mtumishi mmoja aitwaye BARAKA MATHA, pia ni muimbaji akizungumza kwa msisitizo (Ila huku akijistukia) kuwa:-

"Msimtolee Mungu sadaka kidogo na PESA HALALI ni kuanzia 1000/= TU na Pesa zingine hata 500/= SIO HALALI KABISA.

Kwanini awapangie watu kiasi cha kutoa? Yeye anajua mifuko ya watu ikoje?

Anafikiri watu wote wanafanana kiuchumi?

Yeye huwa anatoa pesa nyingi?

Anayasema hayo kwa mamlaka yapi?

SAFINA RADIO ACHENI UTAPELI.
 
Mkuu ume_attack organization yote badala ya mtu mmoja...ila kama ndio hivyo wajirekebishe, suala la sadaka ni la mtu binafsi kile alicho nacho ndio anatoa na sio kupangiwa
Wale ktb wote huwa wanasisitiza tu matoleo.

Jaribu kuwafuatilia kila Jumanne, Alhamisi na Jumamosi
 
Habarini Wadau,

Kwanza napenda kuweka wazi kuwa mimi ni Mkristo, nawaheshimu sana watumishi wa kweli wa Mungu (Mapadri, masista, Wachungaji, maparish workers, wainjilist, waalimu na Maaskofu)

Ila siwezi kuwaheshimu waganga njaa wenye tamaa za pesa, na wabwabwajaji wajifanyao eti watumishi wa Mungu.

Nilishazungumza kuhusu hawa watumishi wa Safina Radio ya Arusha kuwa ni wapenda pesa kuliko kutibu roho za watu.

Leo asubuhi nimemsikia Mtumishi mmoja aitwaye BARAKA MATHA, pia ni muimbaji akizungumza kwa msisitizo (Ila huku akijistukia) kuwa:-

"Msimtolee Mungu sadaka kidogo na PESA HALALI ni kuanzia 1000/= TU na Pesa zingine hata 500/= SIO HALALI KABISA.

Kwanini awapangie watu kiasi cha kutoa? Yeye anajua mifuko ya watu ikoje?

Anafikiri watu wote wanafanana kiuchumi?

Yeye huwa anatoa pesa nyingi?

Anayasema hayo kwa mamlaka yapi?

SAFINA RADIO ACHENI UTAPELI.
Huwa kunakijikwaa mkuu watumishi wanaposisitiza jambo ni wakuwaombea sana maana vita yao ni kubwa.
 
Ni kweli kabisa Pascal, ila Injili ya Kristo inapaswa KWANZA kuponya roho za watu na kusisitiza matendo mema kisha mengine yafuate.

Vipi mtumishi/baadhi ya watumishi kusisitiza na tena kuwapangia waumini kiwango cha sadaka?
 
We utakua na chuki na safina hii mara ya 2 unawasema hapa mara sijui wanaiga nn
Suala sio kusemwa mara ngapi...hata CCM inasemwa mara nyingi ila cha msingi je kinachosemwa kina ukweli na uhalisia?

Kuhusu kuwa na chuki nao...sina chuki nao nina chuki na hii tabia yao chafu ya kupenda pesa tu.
 
Ukiona jambo km hili ni kuufanya utafiti na baadae kutoa majibu sahihi, sababu km mtu mmoja hana maadili ni kumtumbua vinginevyo inabidi taasisi yote iwe inauelewa mpango huo. Pia wamkague vyeti huyo mch. Huyu bwa. Kalalamika huenda ni muumini wao hivyo wajisahihishe.
 
Ni kweli kabisa Pascal, ila Injili ya Kristo inapaswa KWANZA kuponya roho za watu na kusisitiza matendo mema kisha mengine yafuate.

Vipi mtumishi/baadhi ya watumishi kusisitiza na tena kuwapangia waumini kiwango cha sadaka?
Maandiko yanasema. ..tumepewa bure, tutoe bure. Hivi ndivyo YESU alivyo waagiza wanafunzi wake alipo watuma waenda kwenye miji

Lakini nyakat zimebadilika sana, kuna ghalama zinatakiwa ili watu wazid kupata huduma, huduma iendelee kutolewa. Unadhani hiii radio au umeme wa kanisani, mafuta katika magari, kusafiri na expenses zingine zinazotakiwa ili huduma iendelee kufika zinafikiwaje? Lazima mshirikiane, lakini ufikishwaji wa ujumbe huu ndio unaweza kosewa au pokewa vibaya....

GOD IS GOOD
 
Kwani sadaka huwa hazitolewi?

Mbona kuna michango huwa inatolewa ya kuchangia hayo uyasemayo?

Ni sahihi kuwaambia waumini kuwa msitoe pesa chini ya 1000/= kwakuwa eti sio fedha halali?
 
Wale ktb wote huwa wanasisitiza tu matoleo.

Jaribu kuwafuatilia kila Jumanne, Alhamisi na Jumamosi
Kila mtu na atende kwa kadiri apendavyo na sio kwa kulazimishwa...by Paul
 
Kwani sadaka huwa hazitolewi?

Mbona kuna michango huwa inatolewa ya kuchangia hayo uyasemayo?

Ni sahihi kuwaambia waumini kuwa msitoe pesa chini ya 1000/= kwakuwa eti sio fedha halali?
Sina hakika kama unahisi sadaka zinaweza kidhi ghalama zote za huendeshaji.

Pia nahisi hata jumuiya kama kanisa inahitaj akiba juu ya dharula yeyote inayoweza tokea.

Au wataka michango yote itumike fuuuuu na kanisa ibaki na zero balance?.
Ile ni jumuiya na taasisi. Ila kama kuna uovu siwezi usemea au kukingia kifua. Nimejarib kuweka sawa mawazo haya.
 
Habarini Wadau,

Kwanza napenda kuweka wazi kuwa mimi ni Mkristo, nawaheshimu sana watumishi wa kweli wa Mungu (Mapadri, masista, Wachungaji, maparish workers, wainjilist, waalimu na Maaskofu)

Ila siwezi kuwaheshimu waganga njaa wenye tamaa za pesa, na wabwabwajaji wajifanyao eti watumishi wa Mungu.

Nilishazungumza kuhusu hawa watumishi wa Safina Radio ya Arusha kuwa ni wapenda pesa kuliko kutibu roho za watu.

Leo asubuhi nimemsikia Mtumishi mmoja aitwaye BARAKA MATHA, pia ni muimbaji akizungumza kwa msisitizo (Ila huku akijistukia) kuwa:-

"Msimtolee Mungu sadaka kidogo na PESA HALALI ni kuanzia 1000/= TU na Pesa zingine hata 500/= SIO HALALI KABISA.

Kwanini awapangie watu kiasi cha kutoa? Yeye anajua mifuko ya watu ikoje?

Anafikiri watu wote wanafanana kiuchumi?

Yeye huwa anatoa pesa nyingi?

Anayasema hayo kwa mamlaka yapi?

SAFINA RADIO ACHENI UTAPELI.

Huyu bwana alikuwa auditor wa BREWERIES, nafikiri labda mpaka leo, pia ana personal firm ya auditing, JAMAA ANA UTAJIRI WA KUFA MTU, NA ANA TAMAA BALAA. ANA MAGHOROFA NJIRO ARUSHA MA 5, etc. cheki sasa wanavyoomba omba kwenye radio, Hiyo Mijengo ya nini sasa? si auze atumikie Mungu? na hayakai hata watu, halafu anakuja omba wamama uza mchicha wamchangie eti kazi ya Mungu, vimama vya watu vinaambiwa vinaenda eti kupanda mbegu, HUU UTAPELI WA KUTUMIA JINA LA MUNGU NI MBAYA!!!!!
 
Sina hakika kama unahisi sadaka zinaweza kidhi ghalama zote za huendeshaji.

Pia nahisi hata jumuiya kama kanisa inahitaj akiba juu ya dharula yeyote inayoweza tokea.

Au wataka michango yote itumike fuuuuu na kanisa ibaki na zero balance?.
Ile ni jumuiya na taasisi. Ila kama kuna uovu siwezi usemea au kukingia kifua. Nimejarib kuweka sawa mawazo haya.
Ewe Mkuu,

Mimi nimekuwa mhudhuriaji wa Safina Radio kuanzia inaanzishwa.

Kila mnara unaouona mkoani ambapo safina radio inapatikana ni matokeo ya michango ya waumini wanaohudhuria pale na huwa wanahudhuria mara 3 kwa wiki...na wanajaa tele.

Michango ya huduma zingine zoote mbali na sadaka za hiari (Dhabihu) huwa zinatangazwa pia.

Pia kuna sadaka ya 10 % (zaka)

Ila ninachopinga mimi ni KUWALAZIMISHA WATU WATOE SH. 1000 NA ZAIDI.

na kusema pesa zingine si halali.

Wao wanajua wanaokuja pale ibadani wana hali gani kiuchumi?
 
Kiongozi msamehe bure, Kwanza mi ninavyo jua Huyo Baraka Matha sio mtangazaji wala sio mchungaji, huyu ni mwimbaji tu,, wala ethics za utangazaji hazijui,

Lakini pia siku nyingine andika uzi wako kwa upole, jazba ya nini ndugu yangu?
Ukiona ana hamasisha kutoa basi huenda anataka watu watoe kwa bidi, maana apandacho mtu ndicho avunacho
Lakini inaonyesha kwamba hauna hela, mtu mwenye hela hawezi kushtuka kwa kiasi hicho

Ila na huyo Baraka apunguze maneno ya namna hyo
Mwisho naomba km utakuwa unahitaji namba yake unijulishe nikupatie ili utafute siku mzungumze nae umwonye private.

Hiz ni siku za mwisho ukizuba tunakukamua hata ile uliyo tunza kwa ajili ya kununulia mshuma pindi tanesco wanapo zingua.
 
Mmiliki wa Safina anaitwa Dr lema, huyu bwana alikuwa auditor wa BREWERIES, nafikiri labda mpaka leo, pia ana personal firm ya auditing, JAMAA ANA UTAJIRI WA KUFA MTU, NA ANA TAMAA BALAA. ANA MAGHOROFA NJIRO ARUSHA MA 5, etc. cheki sasa wanavyoomba omba kwenye radio, Hiyo Mijengo ya nini sasa? si auze atumikie Mungu? na hayakai hata watu, halafu anakuja omba wamama uza mchicha wamchangie eti kazi ya Mungu, vimama vya watu vinaambiwa vinaenda eti kupanda mbegu, HUU UTAPELI WA KUTUMIA JINA LA MUNGU NI MBAYA!!!!!
Mimi ninadiriki kusema kabisa:-

"SAFINA RADIO WAMEKUWA MATAPELI WAKUBWA"

Mbaya zaidi wanawatapeli hasa wamama masikini wafanyao biashara ndogondogo kabisa.

HAWANA HURUMA, huyu Mzee alikimbiwa na watangazaji wake wa mwanzoni kina Goodluck Sandy kwakuwa ni mbaili na anataka pesa zote azishike mwenyewe.

Hata zile za MPESA hazifiki sijui kwa mweka hazina au mhasibu...ni huyu Mzee tu anaziminya na Mke wake.

Kuhusu Pombe nasikia anakunywa Whisky ila watu wanamwogopa hawawezi kusema hilo.

SAFINA RADIO WANATIA AIBU KWA UTAPELI.
 
Kiongozi msamehe bure, Kwanza mi ninavyo jua Huyo Baraka Matha sio mtangazaji wala sio mchungaji, huyu ni mwimbaji tu,, wala ethics za utangazaji hazijui,

Lakini pia siku nyingine andika uzi wako kwa upole, jazba ya nini ndugu yangu?
Ukiona ana hamasisha kutoa basi huenda anataka watu watoe kwa bidi, maana apandacho mtu ndicho avunacho
Lakini inaonyesha kwamba hauna hela, mtu mwenye hela hawezi kushtuka kwa kiasi hicho

Ila na huyo Baraka apunguze maneno ya namna hyo
Mwisho naomba km utakuwa unahitaji namba yake unijulishe nikupatie ili utafute siku mzungumze nae umwonye private.

Hiz ni siku za mwisho ukizuba tunakukamua hata ile uliyo tunza kwa ajili ya kununulia mshuma pindi tanesco wanapo zingua.

SIO MTANGAZAJI WA MCHUNGAJI SAWA, ILA KURUHUSIWA KUONGEA HAYO MAANA YAKE NI KWAMBA UONGOZI WA REDIO UMEBARIKI NA UNAKUBALIANA NA HAYO MANENO, NI NANI ATATENGENEZA RADI YAKE YA HESHIMA AACHE WATU WAROPOKE BILA KU EDIT, WATUMISHI FEKI NA NJAA ZAO WAMEKUWA WEZI SANA MIAKA HII. NDO MAANA WANAWEKEZA SANA KWENYE RADIO.
 
Ewe Mkuu,

Mimi nimekuwa mhudhuriaji wa Safina Radio kuanzia inaanzishwa.

Kila mnara unaouona mkoani ambapo safina radio inapatikana ni matokeo ya michango ya waumini wanaohudhuria pale na huwa wanahudhuria mara 3 kwa wiki...na wanajaa tele.

Michango ya huduma zingine zoote mbali na sadaka za hiari (Dhabihu) huwa zinatangazwa pia.

Pia kuna sadaka ya 10 % (zaka)

Ila ninachopinga mimi ni KUWALAZIMISHA WATU WATOE SH. 1000 NA ZAIDI.

na kusema pesa zingine si halali.

Wao wanajua wanaokuja pale ibadani wana hali gani kiuchumi?
Biblia inasema. Usimtoleee bwana vilivyo vilema, vidhaifu. Hata Ibrahimu alipokuwa anapewa agano na MUNGU aliambiw achukue vile vilivyo nona..May be alijaribu kuwa kumbusha hapa.
 
Back
Top Bottom