uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,925
- 38,702
Mimi ninadiriki kusema kabisa:-
"SAFINA RADIO WAMEKUWA MATAPELI WAKUBWA"
Mbaya zaidi wanawatapeli hasa wamama masikini wafanyao biashara ndogondogo kabisa.
HAWANA HURUMA, huyu Mzee alikimbiwa na watangazaji wake wa mwanzoni kina Goodluck Sandy kwakuwa ni mbaili na anataka pesa zote azishike mwenyewe.
Hata zile za MPESA hazifiki sijui kwa mweka hazina au mhasibu...ni huyu Mzee tu anaziminya na Mke wake.
Kuhusu Pombe nasikia anakunywa Whisky ila watu wanamwogopa hawawezi kusema hilo.
SAFINA RADIO WANATIA AIBU KWA UTAPELI.
HAWAFAI, NA WAMEZULUMU SANA WATU WENGI NA MAFUNDI, JAMAA NI MSWAHILI WA KAWAIDA SANA. SAFINA RADIO NA RADIO ZA NAMNA HII NI MZIGO KWA TAIFA. MTU ANAFANYA HAYA MAMBO KAMA ATAISHI MILELE....... HAWA WAMAMA NA WAKE ZETU WANADANGANYIKA SANA MAANA NDIVYO WALIVYO......