Safina radio Arusha, tamaa ya pesa itawamaliza hakika

Safina radio Arusha, tamaa ya pesa itawamaliza hakika

Mimi ninadiriki kusema kabisa:-

"SAFINA RADIO WAMEKUWA MATAPELI WAKUBWA"

Mbaya zaidi wanawatapeli hasa wamama masikini wafanyao biashara ndogondogo kabisa.

HAWANA HURUMA, huyu Mzee alikimbiwa na watangazaji wake wa mwanzoni kina Goodluck Sandy kwakuwa ni mbaili na anataka pesa zote azishike mwenyewe.

Hata zile za MPESA hazifiki sijui kwa mweka hazina au mhasibu...ni huyu Mzee tu anaziminya na Mke wake.

Kuhusu Pombe nasikia anakunywa Whisky ila watu wanamwogopa hawawezi kusema hilo.


SAFINA RADIO WANATIA AIBU KWA UTAPELI.
Mungu akuhurumie maaana hujui ulinenalooo so Kwamaa Mungu ni warehema hakuna shida Mungu akuwezeshetu nduguu
 
SIO MTANGAZAJI WA MCHUNGAJI SAWA, ILA KURUHUSIWA KUONGEA HAYO MAANA YAKE NI KWAMBA UONGOZI WA REDIO UMEBARIKI NA UNAKUBALIANA NA HAYO MANENO, NI NANI ATATENGENEZA RADI YAKE YA HESHIMA AACHE WATU WAROPOKE BILA KU EDIT, WATUMISHI FEKI NA NJAA ZAO WAMEKUWA WEZI SANA MIAKA HII. NDO MAANA WANAWEKEZA SANA KWENYE RADIO.
Mungu akusaidie sanaa maaana hujui ulinenalooo
 
Mungu akuhurumie maaana hujui ulinenalooo so Kwamaa Mungu ni warehema hakuna shida Mungu akuwezeshetu nduguu
Hebu andika vizuri kama mtu aliyeenda shule wewe...!!!
 
Habarini Wadau,

Kwanza napenda kuweka wazi kuwa mimi ni Mkristo, nawaheshimu sana watumishi wa kweli wa Mungu (Mapadri, masista, Wachungaji, maparish workers, wainjilist, waalimu na Maaskofu)

Ila siwezi kuwaheshimu waganga njaa wenye tamaa za pesa, na wabwabwajaji wajifanyao eti watumishi wa Mungu.

Nilishazungumza kuhusu hawa watumishi wa Safina Radio ya Arusha kuwa ni wapenda pesa kuliko kutibu roho za watu.

Leo asubuhi nimemsikia Mtumishi mmoja aitwaye BARAKA MATHA, pia ni muimbaji akizungumza kwa msisitizo (Ila huku akijistukia) kuwa:-

"Msimtolee Mungu sadaka kidogo na PESA HALALI ni kuanzia 1000/= TU na Pesa zingine hata 500/= SIO HALALI KABISA.

Kwanini awapangie watu kiasi cha kutoa? Yeye anajua mifuko ya watu ikoje?

Anafikiri watu wote wanafanana kiuchumi?

Yeye huwa anatoa pesa nyingi?

Anayasema hayo kwa mamlaka yapi?


SAFINA RADIO ACHENI UTAPELI.
Kwakuwa Reeema za Mungu nimpya kila siku hakuna neno zaidi ya Mungu akurehemu na akunze na akufungue hapo ulipo macho yako yaone vemaaa ubarikiwe mnooo
 
Anzisha ya kwako uwa-challenge!

Wahubirije wasipo pelekwa!
Achana nae huyoo kaka kwanza nahisi kama shetani anamtumia bibli inasema usinyoshee kidole yeyote aliowekwa kwa kazi ya Mungu Mchungaji,mwinjilst,nibiii.nk.Acha kunyosha mkono juuu yao unauchokoza uso wa Mungu umeona mtu hatendi haki piga magoti mlilie Mungu omba toba juuu yake ili tuwe salama kumsema haisaidii wewe kama umefunuliwa neema shika neno litendeee kazi ukiweka kikao haisaidii kabisa ila yote ni satu Mungu ahusike zaidi jaman
 
Back
Top Bottom