Safina radio Arusha, tamaa ya pesa itawamaliza hakika

Mkuu ume_attack organization yote badala ya mtu mmoja...ila kama ndio hivyo wajirekebishe, suala la sadaka ni la mtu binafsi kile alicho nacho ndio anatoa na sio kupangiwa

Tatizo ni la Organization NA sio la mtu, kwani hiyo organization ndiyo inayowahimiza watangazaji watangaze hivyo.

Ukiona taasisi Yoyote ya kidini inatafuta pesa kwa nguvu NA kuwashawishi waumini wachangishe, basi jua hapo kuna deals zinafanywa.
 
Ni kweli kabisa. Tunaifahamu Safina Radio vizuri sana hadi muasisi wake yaani LEMA.
 
mm sina lakusema ila neno linsema kila mtu na afanye alivyokusudia moyoni mwake
 
Habarini Wadau,

Kwanza napenda kuweka wazi kuwa mimi ni Mkristo, nawaheshimu sana watumishi wa kweli wa Mungu (Mapadri, masista, Wachungaji, maparish workers, wainjilist, waalimu na Maaskofu)

Ila siwezi kuwaheshimu waganga njaa wenye tamaa za pesa, na wabwabwajaji wajifanyao eti watumishi wa Mungu.

Nilishazungumza kuhusu hawa watumishi wa Safina Radio ya Arusha kuwa ni wapenda pesa kuliko kutibu roho za watu.

Leo asubuhi nimemsikia Mtumishi mmoja aitwaye BARAKA MATHA, pia ni muimbaji akizungumza kwa msisitizo (Ila huku akijistukia) kuwa:-

"Msimtolee Mungu sadaka kidogo na PESA HALALI ni kuanzia 1000/= TU na Pesa zingine hata 500/= SIO HALALI KABISA.

Kwanini awapangie watu kiasi cha kutoa? Yeye anajua mifuko ya watu ikoje?

Anafikiri watu wote wanafanana kiuchumi?

Yeye huwa anatoa pesa nyingi?

Anayasema hayo kwa mamlaka yapi?

SAFINA RADIO ACHENI UTAPELI.
Hawakumbuki enz za yule bibi kizee na dinari zake mbili eeeeehhh
 
Tatizo ni la Organization NA sio la mtu, kwani hiyo organization ndiyo inayowahimiza watangazaji watangaze hivyo.

Ukiona taasisi Yoyote ya kidini inatafuta pesa kwa nguvu NA kuwashawishi waumini wachangishe, basi jua hapo kuna deals zinafanywa.
Kwa hiyo Radio Safina ni Wapiga dili
 
Hivi wewe unawasema Radio Safina kwamba ni matapeli unamsema mkurugenzi wao unasema anakunywa whisky, ooh alikuwa auditor Breweries n.k. unamfahamu Mzee Lema? Biblia inasema waongo wakifa wataenda motoni. Wewe unasema uongo na maneno usiyoyajua kwa hivyo ujue tu utaenda motoni siku ukifa. Tena, kwani hao Safina walishakuja kukuambia wewe uwape pesa? Kinakuuma nini? Lema ana maghorofa kila mahali mjini Arusha...So what? Ni wivu tu umekujaa. Kwani ni matajiri wangapi wana ghorofa Arusha? Si wengi tu? Si uwaache wanaochangia Safina waendelee?

Unadhani hao wanaochanga hawajui wanapata faida gani? Undhani kuna mpumbavu anayetoa tu pesa zake bila kutarajia kitu fulani? Kama unasikiliza Safina hujawiskia wakisema sasa wana minara imetapakaa sehemu nyingi hapa Tanzania? Unadhani hiyo minara inajengwa kwa fedha zipi kama si watu walichanga?. Wewe unavyokunywa bia au viroba au mataputapu yako si unatoa hela yako? Nani anakusema? Na kama ukisikiliza Safina hupati ujumbe unaokufaa si uzime redio au kama unasikiliza ukae tu kimya?
 
Kwa hiyo Radio Safina ni Wapiga dili
Ni wapiga dili wakubwa sana.

Ili usione kama nawasingizia...jaribu kushiriki ibada yao hata moja tu utaona msisitizo upo wapi.
 
Hivi wewe unawasema Radio Safina kwamba ni matapeli unamsema mkurugenzi wao unasema anakunywa whisky, ooh alikuwa auditor Breweries n.k. unamfahamu Mzee Lema? Biblia inasema waongo wakifa wataenda motoni. Wewe unasema uongo na maneno usiyoyajua kwa hivyo ujue tu utaenda motoni siku ukifa. Tena, kwani hao Safina walishakuja kukuambia wewe uwape pesa? Kinakuuma nini? Lema ana maghorofa kila mahali mjini Arusha...So what? Ni wivu tu umekujaa. Kwani ni matajiri wangapi wana ghorofa Arusha? Si wengi tu? Si uwaache wanaochangia Safina waendelee?

Unadhani hao wanaochanga hawajui wanapata faida gani? Undhani kuna mpumbavu anayetoa tu pesa zake bila kutarajia kitu fulani? Kama unasikiliza Safina hujawiskia wakisema sasa wana minara imetapakaa sehemu nyingi hapa Tanzania? Unadhani hiyo minara inajengwa kwa fedha zipi kama si watu walichanga?. Wewe unavyokunywa bia au viroba au mataputapu yako si unatoa hela yako? Nani anakusema? Na kama ukisikiliza Safina hupati ujumbe unaokufaa si uzime redio au kama unasikiliza ukae tu kimya?
Kenkereeenkede...Acha kiherehere wewe sijui ni mke wa Lema?

Kwanza hueleweki umemquote nani kati ya mleta mada na mchangiaji aliyetaja utajiri wa Lema.

NDIO wanawalazimisha watu kutoa sadaka tena inayozidi sh. 1000. Usimwage Povu hapa.

SAFINA RADIO ACHENI UTAPELI, HASA KWA WAMAMA WENYE BIASHARA NDOGONDOGO ARUSHA.

Unafikiri akichomwa mwongo, Matapeli ndio wataachwa?

Toa povu, Period,
 
Mbona watu wanakwenda kwa waganga wanapagiwa sadaka za kutoa na hapo hapo wanapewa masharti magumu na wanayatekeleza bila kuona kama ni utapeli???
 
hahaaa halafu kuna yule mtangazaji wao mmoja hivi anayeombaga asubuhi naskia jamaa anawapumulia magasho vibaya mno hii stor alikua anasimulia chalii mmoja hivi ambaye nae ni shoga
 
me ndo nachokaga hapo imagine mtu una shida huna hata nauli yakwenda kwenye ayo maombi bado alafu unasikia kiwango cha sadaka kinapangwa chaaaa alijisemeaga mzee wa upako hapendi/ hataki coins
na ndo maana wanasema sometimes wakijuaga wew ni class flani ya juu treatment inakuwa tofauti
 
Ndivyo walivyo hawa Matapeli

Hata huyo anayejiita Mzee wa Upako ni TAPELI
 
hahaaa halafu kuna yule mtangazaji wao mmoja hivi anayeombaga asubuhi naskia jamaa anawapumulia magasho vibaya mno hii stor alikua anasimulia chalii mmoja hivi ambaye nae ni shoga
[emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Mbona watu wanakwenda kwa waganga wanapagiwa sadaka za kutoa na hapo hapo wanapewa masharti magumu na wanayatekeleza bila kuona kama ni utapeli???
Hiyo habari ya waganga haihusiani na Utapeli wa Safina Radio ambao wao wanabainisha kuwa ni Wakristo wanaoisimamia Biblia.

Kwanini wampangie mtu kiasi cha sadaka ya kutoa.
 
Back
Top Bottom