Baraka alitania tu na walikuwa wanazungumzia tamasha la jumapili kuwa kutakuwa na sadaka kwa ajili ta kusaidia watoto yatima na wajane. Pia kama unaichukia safina ni wewe. Maombi yametusaidia sana .Habarini Wadau,
Kwanza napenda kuweka wazi kuwa mimi ni Mkristo, nawaheshimu sana watumishi wa kweli wa Mungu (Mapadri, masista, Wachungaji, maparish workers, wainjilist, waalimu na Maaskofu)
Ila siwezi kuwaheshimu waganga njaa wenye tamaa za pesa, na wabwabwajaji wajifanyao eti watumishi wa Mungu.
Nilishazungumza kuhusu hawa watumishi wa Safina Radio ya Arusha kuwa ni wapenda pesa kuliko kutibu roho za watu.
Leo asubuhi nimemsikia Mtumishi mmoja aitwaye BARAKA MATHA, pia ni muimbaji akizungumza kwa msisitizo (Ila huku akijistukia) kuwa:-
"Msimtolee Mungu sadaka kidogo na PESA HALALI ni kuanzia 1000/= TU na Pesa zingine hata 500/= SIO HALALI KABISA.
Kwanini awapangie watu kiasi cha kutoa? Yeye anajua mifuko ya watu ikoje?
Anafikiri watu wote wanafanana kiuchumi?
Yeye huwa anatoa pesa nyingi?
Anayasema hayo kwa mamlaka yapi?
SAFINA RADIO ACHENI UTAPELI.
Hahaha...punguza povu weyeeBaraka alitania tu na walikuwa wanazungumzia tamasha la jumapili kuwa kutakuwa na sadaka kwa ajili ta kusaidia watoto yatima na wajane. Pia kama unaichukia safina ni wewe. Maombi yametusaidia sana .
Mkuu Karibu kwenye maombi kesho kuanzia saa mbili asbh uje utoe dukuduku lako madhabahuni.Hahaha...punguza povu weyee
Sijataka kujua kama Maombi ya Safina yamekusaidia au laah.
Hawajaanza leo.
Ninachowaambia ni kuwa:-
Safina Redio Waache UTAPELI tena wa kuchukua pesa za wamama wenye vipato vidogo tu.
Ni wapiga deal wakubwa sana, wao pamoja na wale wasimamizi wa msikiti mkubwa wa ijumaa pale Arusha. Watu wanachangishwa na wangefaidika ni wachache wanaojifanya wao ndio wako karibu na mungu, na wanauwezo wakukushitaki kwa mola na ukaadhibiwa. Hakuna hicho ni majambazi wanaojifanya mashehe ama mapadre.Kwa hiyo Radio Safina ni Wapiga dili
Hajifunzi kwa kainiBiblia inasema. Usimtoleee bwana vilivyo vilema, vidhaifu. Hata Ibrahimu alipokuwa anapewa agano na MUNGU aliambiw achukue vile vilivyo nona..May be alijaribu kuwa kumbusha hapa.
Hivi kwa siku unatoa sadaka? Je unajua kitu kilichoko ndani ya sadaka? Je, unajua maana ya sadaka? Je ni kiwango kipi sahihi cha sadaka? Angalia ibrahim, angalia kaini, angalia yule mama halafu jitathiminiNi wapiga dili wakubwa sana.
Ili usione kama nawasingizia...jaribu kushiriki ibada yao hata moja tu utaona msisitizo upo wapi.
Hivi wewe umeelewa nilichoandika?Mara yako ya mwish kutoa zaka lini? Je, sadaka gani unayotaka kumtolea Mungu? Kabla ya kulaumu jiulize yafutayo. Kwa siku unaingiza kiasi gani na unampa kiasi gani Mungu kama asante. Kwa wiki unaingiza kiasi gani na Mungu unampa kiasi gani. Katika mazingira ya kawaida bado hata hiyo buku ni ndogo. Amekupa uzima wiki nzima, amekupa afya, amekupa ulinzi, amekupa baraka na mafanikio n.k halafu unalalamika mbya zaidi unaweza kuta unateketeza 50k na malaya
Wewe ndiye tapeli. Hapo umeona tu neno zaka tu,hayo mengine hujayaona? Au maombi yao yanakuunguza? Sikiliza au nenda kwa geodavieHivi wewe umeelewa nilichoandika?
Zaka ni moja ya kumi.
Ni nani amezungumzoa zaka hapa?
Hayo maswali ya kutaka kujua natoaga zaka kiasi gani yanahusiana vipi na UTAPELI WA SAFINA REDIO?
Hahaha...punguza povu, au wewe ndiye mke wa Baraka? [emoji23]Wewe ndiye tapeli. Hapo umeona tu neno zaka? Au maombi yao yanakuunguza? Sikiliza au nenda kwa geodavie
Mkuuu yaelekea unaumia sana watu kutoa sadaka kama vipi Fungua kanisa lako acha chuki binafsi.Hivi wewe umeelewa nilichoandika?
Zaka ni moja ya kumi.
Ni nani amezungumzoa zaka hapa?
Hayo maswali ya kutaka kujua natoaga zaka kiasi gani yanahusiana vipi na UTAPELI WA SAFINA REDIO?
Hahaha...yaelekea nawewe umeumia sana kwani nimekugusa TAPELI wa hapohapo Safina.Mkuuu yaelekea unaumia sana watu kutoa sadaka kama vipi Fungua kanisa lako acha chuki binafsi.